Nimenasa ushauri

Huyo mwanamke kama mjanja anaweza kutoka bila jamaa kujua. Amuwekee maji chooni ajifanye anataka kumpa mahaba ya kumuogesha na huku anaitwa na tabasamu la mapenzi ndani ya kanga nyepesi.

Ndo unavyofanya ukiingiza jamaa ndani?
 
kaka SUMBAI njoo uone chai huku ya mchana
 
Huyo mwanamke kama mjanja anaweza kutoka bila jamaa kujua. Amuwekee maji chooni ajifanye anataka kumpa mahaba ya kumuogesha na huku anaitwa na tabasamu la mapenzi ndani ya kanga nyepesi.
Kumbeeeeee!!!!! Kunasiku niliogeshwa from nowhere tu. Sasa kuanzia leo.....nikiona mahaba yamezidi, naanza kusachi mpaka makabati.
 

Hii story mbona inarudiwa sana?
 
Huyo jamaa yaani siku ya kwanza tu kakubali kwenda kulala nyumbani kwa mwanamke? Duuh!! Hii ngumu kumeza.
 
Mwache tu humohumo mpk jamaa akiondoka hlf akitoka muulze swahiba je yy ni nani kwa huyo mdada
 
Mwambie jamaa nimecoment kwenye ukurasa wake wa insta mwambie afungue sasa hivi
 
Jamaa ametoka au polisi wamemsaidia kutoka

ndo kaachiwa kwa dhamana baada ya kumtishia huyu mdada kuwa nitaita polisi akawa anamtoa ndipo wakakutana na jamaa uso kwa uso ugomvi ukatokea polisi wakaja baada ya majirani kuwaita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…