Mpendezeshe ili awe kama Lisa.Umesema kweli, ila ninae tayali japo ananisumbua....
Umesema kweli, ila ninae tayali japo ananisumbua....
Mpendezeshe ili awe kama Lisa.
Usione vyaelea kaka........................
May be Lisa ni wa thamani sana kwako kwa kuwa yupo na mwingine, ila nina mashaka kwamba once akiwa na wewe sifa zote ulizompa ataambulia chache km sio kukosa yote!
"i may not be true"
Mi naona penye uzuri mtu asifie, na penye ubaya napo tulonge.... Lisa ni mzuri, mcheshi na anaushauri mzuri. Naona mke wangu kuna sifa anakosa, ni jeshi...
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!11 Mbona unataka kunirushia kandege kangu sasa acha wivu bwana.May be Lisa ni wa thamani sana kwako kwa kuwa yupo na mwingine, ila nina mashaka kwamba once akiwa na wewe sifa zote ulizompa ataambulia chache km sio kukosa yote!
"i may not be true"
sasa Blueprint umenza kunisingizia , mm ni mzuri muulize hata kaka yangu, Mtambuzi analijua hilohongera lisa kwa sifa hzo ulopewa...................
....other factors remain constant plzzzzzzzzzzzzzzz
na ndani uwe kama nje usije kuwa gumegume.
may be lisa ni wa thamani sana kwako kwa kuwa yupo na mwingine, ila nina mashaka kwamba once akiwa na wewe sifa zote ulizompa ataambulia chache km sio kukosa yote!
"i may not be true"
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!11 mbona unataka kunirushia kandege kangu sasa acha wivu bwana.
Uneniable , kwa nn unasema hivyo? yeye kanisifia tu , ila sidhani kama atakuwa anamaanisha vingine, Au????????'i may not be true'
Kaanza hivi karibu au tangu uchumba?Kusema kweli, nimejitahidi sana na anapendeza sana mke wangu, tatizo ni mdomo... Pia hanijali, mfano, hamfulii nguo, na kuniwekea chakula mezani. Nguo na chakula vinaandaliwa na wadada wa kazi. Je niache kulalamika?
Uneniable , kwa nn unasema hivyo? yeye kanisifia tu , ila sidhani kama atakuwa anamaanisha vingine, Au????????
Wiyelele amemjua lisa kwa kuongea naye tu.May be Lisa ni wa thamani sana kwako kwa kuwa yupo na mwingine, ila nina mashaka kwamba once akiwa na wewe sifa zote ulizompa ataambulia chache km sio kukosa yote!
"i may not be true"
Is this love or obsession?Nimemsifia kutoka moyoni, na kwamba iwapo atapata shida yeyote na mme wake, nitakuwa tayali kuwa na wewe Lisa, na kukuvisha taji mpya!
Nimemsifia kutoka moyoni, na kwamba iwapo atapata shida yeyote na mme wake, nitakuwa tayali kuwa na wewe Lisa, na kukuvisha taji mpya!