Nimemzimia Lamomy

Nimchujue mtot mara ngapi sas uyo lamomy mbn hayupo sas umekaa kinyonge unatia huruma
Lamomy atakuja kwa mda wake...ila huyo mtu wako sjui mtoto ni kupe ameniganda kama gundi ..alietakwa ni Lamomy nyinyi wewe haswa na huyo mtu wako sjui ni mchepuko wako sjui hata sielewi unampa.kichwa anigande
 
Hapana sio mwanaume coz namfahamu physically. pesakilakitu endelea na plan yako, huwezi jua mkajikuta mmeendana na Lamomy na mkafika mbali maishani.
Asante mkuu. Nashangaa watu wananishambulia Hadi wanawake Sasa walitaka niwatake wao ama vipi sielewi
Mimi nimempenda na nitamdhibitishia as days goes on taratibu
 
Uyo lamomy me ananihusu nin nenden veta kwanza alaf mrud apa
Kumbe ni huyo kupe wako Marcy sjui mecy sjui ndio unasema simuwez..ofkoz siwezani na MAKUPE Mimi ..kama unamueza ni wewe..and by the way I don't date little girls...they are off my limit. Lamomy ndio size yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…