Nimemzimia Lamomy

Kwasababu mimba haubebi wewe haina shida unaweza kujaribu akikushinda mkimbie umuachie mimba ili tuje tumsimange kwa usingo maza
 
Kuna namna mtu anaweza kuona avatar yako, maandishi yako then akafall, unaweza kusema ni vitu vya ajabu lakini inawezekana. Akili ya binadamu ipo so complex.

Watu wanafall kwa miandiko tu humu.
Lakin vyote hivyo hiviwezi kubeba uhalisia wa mtu mpaka kufikia hatua hiyo ya ku fall in mwishowe ni kukimbiana mkutanapo🤣🤣tamaa tu na mihemko ya chini hakuna kingine
 
Kumbe kweli Lamomy ni mshangazi mwenye titi lake na tako lake
 
Baba wa Taifa hayati Mwl Nyerere alikuwa akitembea kwa miguu kutoka Pugu hadi Kkoo kupambania pia mpuuzi kama mleta mada apate uhuru toka kwa wakoloni. Inasikitisha sana.
 
Baba wa Taifa hayati Mwl Nyerere alikuwa akitembea kwa miguu kutoka Pugu hadi Kkoo kupambania pia mpuuzi kama mleta mada apate uhuru toka kwa wakoloni. Inasikitisha sana.
Ila si alikua na wa kumliwaza ambaye ndio mama maria Nyerere? Nataka Lamomy ndio aniliwaze nami nimliwaze.. Acha wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…