Nimemtia mimba mke wa mtu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Jana mara baada ya kurudi kutoka msibani jijini morogoro na kuja dodoma, ata kabla sijatulia nimepokea sms kutoka kwa demu flani hivi mke wa mtu ambae mme wake sio wale wa kutulia ni wa kufanya kazi mikoa ya jirani,

Nilikuwa nadate nae as if kama bado hajaolewa she is beautifully and slim na bado hajazaa mtoto licha ya kuwa kwenye ndoa zaidi ya miaka 5,

Jana kanitext kwamba anaujauzito wangu na kweli siwezi kukataa kwa sababu nakumbuka siku zote nilikuwa napiga kavu na ata siku namgonga mara ya mwisho alikuwa kwenye siku zake za hatari, nilitegemea hilo na kweli yametokea,

Kuhusu kuilea na atafanya nini mme wake akijua,kaniambia nitulie nisiwe na pressure yeye anajua nini atafanya,



Cc Zero IQ.
 
Jiandae, sasa sijui utaokota nini maana makopo dili na mifuko ya plastiki imepigwa marufuku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Hongera.
 
Hongera mkuu, wewe ni msaidizi wa kazi mzuri,.. Mwenyewe haachi kupita huko kuzunguka, mtoto mbichi miaka 5 hajajazwa mimba, umetenda lililo jema sana... Hongera! We ni aina ya super striker, unatumia nafasi inayopatikana ndani ya box, mke mwenyewe anakuona shujaa zaidi ya mumewe... Hongera sana
 
Ulitaka umtie mimba mke wa shetani, au mke wa mamba?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…