Nimemtia mimba mchepuko na kutoa hataki

pole mkuu but...this world is always unfair your wife wasnt home and you cheated on her to other regular bitch.. but if it was you being cheated by your wife it will be the other different story in here put the blame in women saying that they aint loyal to their husbands...the hard thing in relationship these days people like to do things to their patners which they dont like those things to be done to them...thats the cost u gotta pay bro ..why did you cheat in the first place? the thing which as grown men u need to do is to come clean and talk to your wife about what you did first and see what she will tell you then you will relax and decide what is the next step to do
 
Yani wew ndio unaelewa siku za m'mke kuliko mwenyewe. Wew ni doctor? Maana siku za wanawake wengi haziko stable wew ulijiaminisha kitu gani?
Nilijua sku gani aliingia period ya last , kwaiyo nikawa nafatilia kalender yake so alikua kwenye safe days

Yaan daah hadi nashangaa hii mimba sku ile imeingiaje
Ilipitia mdomoni
 
Mkuu sisi humans kuteleza ni miongoni mwa sifa zetu kubwa

Mtu yyte anafanya hayo makosa ww hayajakukuta tu
 
Mkuu sisi humans kuteleza ni miongoni mwa sifa zetu kubwa

Mtu yyte anafanya hayo makosa ww hayajakukuta tu
kweli mzee baba we ni mtu mkubwa hapo ni mekukubali mkuu...cha kufanya maji ya kukifika shingoni muelezee mkeo itasidia mkuu maan akija kujua siku zimeenda ni maumivu mara mbili wewe kaa naye mwambie ilivo kua pia atakuona unaheshimu uwepo wake na anaweza kukupa hata solution huwezi jua...shes your wife she knows you better than any of other except from your mom just talk to her
 
Ushauri mzur mkuu ,asante , kiukwel kabila la huyu mchepuko kidog linanipa ukakasi kuzaa nalo

Hivyo nimempa mimba nilikua najua last period day yake so alikua ktk safe days chakushangaza kitu kimesoma daah

Kweli kifo cha nyani
Hesabu za Mimba zinahesabiwa kuanzia siku ya kwanza ya Period Mkuu.
 
Mkuu huyo binti anakuona huko chini ya mke wako. Ngoja ajifungue ndo ataanza kukuendesha vibaya mno.Kwanza tulia mlee mimba wote ikiweka mikakati ya kumwambia wife wako ukweli.

Jaribu kuonesha tabia nzuri kwa mkeo kwa kipindi hiki cha kulea mimba mpaka atakuamini sana...mwishoni ukija kumwambia anaweza akakuelewa sana.
 
Hapo ndipo ukimtafakari Mungu unaamua tu arudishiwe sifa na utukufu. Hakuna hata neno moja limewahi kwenda bure Mithali;6:32....Anasema mwanaume azinie na mwanamke hana akili kabisa kufanya jambo linalomwaibisha nafsi yake..... Wala hatapata heshima kamwe. Kinachofuata hapo mkuu ni mgogoro ambao HAIJAWAHI KUTOKEA. JIANDAE KISAIKOJIA KUUMIA VIBAYA KUTOKA KWA KISASI. Wanawake ni wazalishaji wazuri usishangae atakwambia yameisha Ila akakuzalia wawili au watatu sio wako na utalea wakimaliza chuo ndo anakwambia sio wako we wako 1 tu hapo ndo kama hukujiandaa sawasawa unaweza kumaliza maisha ya uzeeni jela baada ya kufanya mauaji.
 
mkuu usiwaze yaani kama nimekuelewa vizuri hujambaka kwaiyo nyege zake isikupe stress. potezea na umuonye kabisa kwako aione kama kituo cha polisi.
 
sorry madam no need of emotions kindly comeback wen ur sobber and comment, I consider ur statement as null and void. the dude is asking for a genuine advice and you bringing ur feelings here .keep ur emotions to urself. plz plz.
 
But ndo nishakua scape goat sasa mkuu

Kwan i witnessed her last bleeding

Kumaliza tu mm ndo nikachojoa

But she is not that smart to give me what is not mine ujue

How did you witnessed her period?

Kama alifanya kukwambia unawezaje kujihakikishia kuwa hakukwambia uongo?
Mke ambae huishi nae ndani unawezaje kupata uhakika wa kuwa yuko period?

Huyo mke wa ndoa mwenyewe hadi akwambie !
 
Siku ngapi baada ya gem alikwambia ana mimba?
 
sorry madam no need of emotions kindly comeback wen ur sobber and comment, I consider ur statement as null and void. the dude is asking for a genuine advice and you bringing ur feelings here .keep ur emotions to urself. plz plz.
Okay
 
huyo demu ni kabila gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…