colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,928
Huu naona ni science mkuu maana si kwa mtiti huu.Write your reply... Mchepuko huo ni science au arts?
Hujaambiwa mchepuoWrite your reply. Mchepuko huo ni science au arts?
MmhKama Una Uhakika Hiyo mimba Umempa Wewe Basi Nenda Kamwambie Akupe Mimba Yako Ukae Nayo Mwenyewe. Tena Mwambie Akome Tabia Yake Ya Kung'ang'ania Kukaa Na Vitu Vya Watu Wakati wenyewe Wanavihitaji.
Yani Ni Simple Tu.
Ndo itasaidiaje hii technique mkuu?Dawa mpe na wife mimba chaaaap
Ushauri mzur mkuu ,asante , kiukwel kabila la huyu mchepuko kidog linanipa ukakasi kuzaa naloKwaiyo mkuu unataka kushiriki dhambi ya kuuua kiumbe kishichokua na hatia.....??!!! Thamani ya hicho kiumbe ni zaidi ya hata kuachana na huyo mke wako. Muache ajifungue then mbele ya safari utakuja kumuelewesha huyo mke wako.
Vipi tena mbona unaguna au hiyo mimba sio yako?.
Nilijua sku gani aliingia period ya last , kwaiyo nikawa nafatilia kalender yake so alikua kwenye safe daysKwann ulipiga peku mkuu??..Hukufikiria hili before??
Mmoja mkuuSamahani mkuu wewe na mkeo mna watoto wangapi
Kwaiyo mkuu unataka kushiriki dhambi ya kuuua kiumbe kishichokua na hatia.....??!!! Thamani ya hicho kiumbe ni zaidi ya hata kuachana na huyo mke wako. Muache ajifungue then mbele ya safari utakuja kumuelewesha huyo mke wako.
Ivi kabila gani Ni zuri na Kabila gani Ni baya?.Ushauri mzur mkuu ,asante , kiukwel kabila la huyu mchepuko kidog linanipa ukakasi kuzaa nalo
Hivyo nimempa mimba nilikua najua last period day yake so alikua ktk safe days chakushangaza kitu kimesoma daah
Kweli kifo cha nyani
Hapa umeshashiriki dhambi ya kuua.Muwekee dawa za Kutoa mimba kwenye chakula.. Imeisha Iyo