Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
Wakuu huyu mrembo MAMBISE mchekeshaji wa WATU BAKI nimetokea kumpenda vibaya sana.
Sura yake inanimaliza, pua yake inanitaabisha, tabasamu lake ndiyo usiseme.
Pozi lake linanichanganya mno, akiongea lafudhi yake ya kichuga huwa nahisi moyo unaelea elea hewani ukicheza tone za maneno yake.
Shepu yake nadhani hata shetani anaitamani hasa akivaa jinzi ya bluu na fulana jeupe.
Rangi yake ya asili ambayo haipaki mafuta ya kuchubua nadhani inaweza kuwa ndiyo sababu namba moja ya kuvutiwa na huyu mtoto.
Ndugu zangu mliopo daresalama vipi huyu mrembo ameolewa?
Kama hajaolewa nipeni njia za kunnasa najua nyinyi watu wa daa hamshindwi kitu.
MIMI NIPO MTWALA
KUHUSU PESA MSIJALI.