Nimempata mmama alienizidi miaka 20,je nitembee nae au ataninyonya damu??

Wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na mmama,baada ya kuchat chat nae tukapeana mawasiliano

Huyu mmama hajaolewa kaniambia hataki ndoa kwa sababu hapendi stress,mi nikamtongoza akakubali na tumepanga tuonane wikend hii

Sasa huyu mmama ni mkubwa yani kanizidi miaka kama 20 hivi lakini ukimwangalia kwenye picha anaonekana bado binti,hapa nawaza nikutane nae au nimpotezee?? Manake nimesikia kutembea/kugegeda wamama watu wazima wanakunyonya damu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la ajira limedhuru ubongo wa vijana wa ki TZ

USHAVUTA SIGARA BWEGE ASUBUHI YA LEO AU BADO, KULE CHIMBO UNAPOANDIKIA STORY ZAKO WANAKUSUBIRI SASA HIVI, shuka kabisa na Rozela ukaongeze damu. THANKS FOR UR STORY.
 
HAO NDIYO WATAMU YAANI UKIACHA UTAKOSA MAUTAMU UJUE WATU WAZIMA WATAMU KULIKO VITOTO UKIACHA NIPE MIMI
 
Kwani una miaka mingapi?

Ili aliyekuzidi miaka 20 aonekane binti inabidi wewe uwe na miaka 13 mpaka 15.
 
Wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na mmama,baada ya kuchat chat nae tukapeana mawasiliano

Huyu mmama hajaolewa kaniambia hataki ndoa kwa sababu hapendi stress,mi nikamtongoza akakubali na tumepanga tuonane wikend hii

Sasa huyu mmama ni mkubwa yani kanizidi miaka kama 20 hivi lakini ukimwangalia kwenye picha anaonekana bado binti,hapa nawaza nikutane nae au nimpotezee?? Manake nimesikia kutembea/kugegeda wamama watu wazima wanakunyonya damu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakuwa mnatembea mnatoka wapi mnaenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kamle kabisa ila hakikisha unakua karibu na wale jamaa wa red cross wakuletee damu haraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom