Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Leo nimekua wakwanza kukata tiketi, nahisi nipo seat namba 1Wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na mmama,baada ya kuchat chat nae tukapeana mawasiliano
Huyu mmama hajaolewa kaniambia hataki ndoa kwa sababu hapendi stress,mi nikamtongoza akakubali na tumepanga tuonane wikend hii
Sasa huyu mmama ni mkubwa yani kanizidi miaka kama 20 hivi lakini ukimwangalia kwenye picha anaonekana bado binti,hapa nawaza nikutane nae au nimpotezee?? Manake nimesikia kutembea/kugegeda wamama watu wazima wanakunyonya damu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamaa mbele mauti nyuma.Wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na mmama,baada ya kuchat chat nae tukapeana mawasiliano
Huyu mmama hajaolewa kaniambia hataki ndoa kwa sababu hapendi stress,mi nikamtongoza akakubali na tumepanga tuonane wikend hii
Sasa huyu mmama ni mkubwa yani kanizidi miaka kama 20 hivi lakini ukimwangalia kwenye picha anaonekana bado binti,hapa nawaza nikutane nae au nimpotezee?? Manake nimesikia kutembea/kugegeda wamama watu wazima wanakunyonya damu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwel
Nenda na dripu za damu kabisa,.mnagegedana huku umejitundikia dripu mikono yote miwili..itasaidia kutoishiwa na damu mwilini mwako..
Anatafuta asichokijua😂atakipata tuu.... Asisahau tu kumshika mkono(washikane mikono) huku wakitembea, hivi anajiuliza nini kutembea na mmama mtu mzima
Mdogo wangu ..nakushsuri peleka damu yako Hospital tuna wagonjwa wengi wanahitaji damu!!!Wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na mmama,baada ya kuchat chat nae tukapeana mawasiliano