Nimempata mmama alienizidi miaka 20,je nitembee nae au ataninyonya damu??

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na mmama,baada ya kuchat chat nae tukapeana mawasiliano

Huyu mmama hajaolewa kaniambia hataki ndoa kwa sababu hapendi stress,mi nikamtongoza akakubali na tumepanga tuonane wikend hii

Sasa huyu mmama ni mkubwa yani kanizidi miaka kama 20 hivi lakini ukimwangalia kwenye picha anaonekana bado binti,hapa nawaza nikutane nae au nimpotezee?? Manake nimesikia kutembea/kugegeda wamama watu wazima wanakunyonya damu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimekua wakwanza kukata tiketi, nahisi nipo seat namba 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na mmama,baada ya kuchat chat nae tukapeana mawasiliano

Huyu mmama hajaolewa kaniambia hataki ndoa kwa sababu hapendi stress,mi nikamtongoza akakubali na tumepanga tuonane wikend hii

Sasa huyu mmama ni mkubwa yani kanizidi miaka kama 20 hivi lakini ukimwangalia kwenye picha anaonekana bado binti,hapa nawaza nikutane nae au nimpotezee?? Manake nimesikia kutembea/kugegeda wamama watu wazima wanakunyonya damu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tamaa mbele mauti nyuma.

Kwani rika lako hakuna? Au nyie ndo wale vijivulana alivyosema Ma Mshuza hamjui kutongoza?
 
Picha sa zingjne zinadanganya sana. You will be shocked utakapokutana nae!
 
Wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na mmama,baada ya kuchat chat nae tukapeana mawasiliano

Huyu mmama hajaolewa kaniambia hataki ndoa kwa sababu hapendi stress,mi nikamtongoza akakubali na tumepanga tuonane wikend hii

Sasa huyu mmama ni mkubwa yani kanizidi miaka kama 20 hivi lakini ukimwangalia kwenye picha anaonekana bado binti,hapa nawaza nikutane nae au nimpotezee?? Manake nimesikia kutembea/kugegeda wamama watu wazima wanakunyonya damu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu ..nakushsuri peleka damu yako Hospital tuna wagonjwa wengi wanahitaji damu!!!
Mungu atakubariki kwa wema wako.....achana na bjangaa Hilo..
 
Ni wewe tu! Sijui atakunyonya damu, sijui atakuunguza, yote ni uongo tu!
Ila tabu moja, ukizoea hayo MA-MAMA, wa umri wa size yako hutawaona wana UTAMU kama hayo ma- mama!
 
Dah pole sana kijana ! Ila ishauri wangu we nenda nae sambasamba mbona vibabu vinatembea na vibinti bwana
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom