Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na mmama,baada ya kuchat chat nae tukapeana mawasiliano
Huyu mmama hajaolewa kaniambia hataki ndoa kwa sababu hapendi stress,mi nikamtongoza akakubali na tumepanga tuonane wikend hii
Sasa huyu mmama ni mkubwa yani kanizidi miaka kama 20 hivi lakini ukimwangalia kwenye picha anaonekana bado binti,hapa nawaza nikutane nae au nimpotezee?? Manake nimesikia kutembea/kugegeda wamama watu wazima wanakunyonya damu!!
Sent using Jamii Forums mobile app