Nimempa mimba mke wa mtu

hii story mbona kama haieleweki mkuu? Ni wewe au rafiki yako kapatwa na janga hili?
 
mdada akili kichwani inawezekana hata mimba hana anatafuta fursa
 
Mmmh naona mtu anaibiwa kabisa waziwazi
 
miezi sita bilatendola ndoa...na wanalala pamoja...usanii wa hali ya juu....hapopesa tu hata ndoainaonekana ilifungwa tu ilimradi
 
Kwan kumimbishwa ndo unastahili kupewa nyumba? Si azae halaf ampe huyo bwana mtt wake? Halafu wanaume pumb*ffff kabisa yaani atoe mali ya familia kumpa malaya wake? Hivi mkewe akipata hizo habar atajisikiaje? Then mleta mada anakuja eti ""wanaume tuwe makini na hawa wanawake zetu" km vle huyo mwanaume aliyoyafanya ni sahihi mxxxyiiiuuu!! Kudadadeki zake!
 
Hiyo nyumba asimpe kwanza apangishe kisha kodi itakayopatikana hapo akampangie huyo mwanamke Asubiri mtoto azaliwe na ahakikishe ni wa kwake .Vinginevyo mtoto atakuwa na baba wawili.Maisha ya sasa kubambikiwa mimba sio kabisa
 
Njoo nae niwafanyie toba,umekiri katika Uwazi sasa njoo kwangu na huyo mwanamke
 
Kwan akimpa Nyumba moja we unapungukiwa nn? Au yeye hzo nyumba tano zinamwongezea nn???
Halafu, mbona unakandia kwamba mimba sio ya rafk ako? We wajuaje??
Unasema, " tuwe makini na wake zetu?????" Huyo mume Wa mtu alifata nn kwa mpz wake wa zaman kama yuko makini na ndoa yake?

Majuto ni babu!!!!!!!
 
Mkuu The Boss huyu mtu tuachane na upupu wake sababu anjifanya kutukoroga isipokua hili sakata ni lake na mpaka sasa hivi yeye anafikiri ni ujanja,.
Acha matusi kaka. Halafu c kila post mtu anayotuma huwa n yake kweli, mwingne husimuliwa na rafk ake na kuamua kushirikisha watu kutafuta utatuzi.
Mfano, mie cjawahi weka post ya maisha yangu, huwa n experience wanazopitia best zangu.
Kuwa mpole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…