Nimempa mimba mama mkwe wangu

Dhambi hii pia shetani amekana kuhusika!!
 
Pole kaka ndio maisha ya ngono zembe punguza tamaa utampa mimba ata dadaako
 
Malipo ya uzinzi ndio hayo umeumbuka pabaya 😀
Lea mimba hiyo na mtunze mtoto wako
 
Mwambie ukweli uone ana react vipi, utapata sehemu ya kuanzia. Mwambie wewe ni mama mkwe wangu na limetokea hili; muombe mshauriane nini cha kufanya kabla ya taarifa za umbea kumfikia mkeo!!. Shahara wa dhambi ni mauti!
Nahisi alimwambia mama xjaoa na cna mtoto ndio maana bim mkubwa akazidisha mbwembwe ili wapate kababy xaxa ataanzaje kumwambia wanaume macho utosini hao
 
Ungekuwa demu tungekwita KAHABA ila hapa sijui tukuitwe Mzee VANGUVANGU
 
Akili yako ndio itatekeleza maamuzi yako.
 
Asitoe mimba, muache mama mkwe ajizalie mjukuu! Na ww upate shemeji pia, mkeo apate dada/kaka
 
Wanaotia nje ni wa pumbavu.
Wanaotia nje bila condom ni wajinga, wapumbavu na akili zenu hazina akili.

Kwa sasa Huna la kufanya kubali ujinga wako mwambie mkeo ukweli .
 
Hapa kuna uongo. Kwa mazingira ya kibongo ni ngumu sana mtu kuoa halafu ndugu wa karibu wa mkeo wasikufahamu japo kwa picha, hasa kwenye zama hizi za smart devices.
Kama hadi wanatumiana picha na kuiweka kny wall page maana yake wapo karibu, sidhani kama picha yako hakuwa ameiona. Nadhani unauza chai kny huu uzi.
 
Marehemu Munga Tehenan - yule Mwl. wa utambuzi na meditation - aliwahi kuandika riwaya nzuri yenye muundo kama hii hadithi yako. Iboreshe uipeleke kwa Shigongo upige hela.
 
Mtoto wako wa sasa atakuita babu mdogo baada ya miezi 9.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…