PNC JF-Expert Member Feb 3, 2015 8,107 14,352 Apr 3, 2016 Thread starter #3 Invisible nisaidie kunipelekea jukwaa husika
C cute b JF-Expert Member Aug 14, 2014 16,882 34,254 Apr 3, 2016 #5 Mwambie atoe maana hamna namna. Na wew ukitulize sasa utaugua ugonjwa wa wazee
2hery JF-Expert Member May 27, 2011 4,700 4,616 Apr 3, 2016 #10 AROON said: Wewe ni mwanaume wa dar? Click to expand... Atakuwa wa city center huyu..
Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,139 12,285 Apr 3, 2016 #13 Haina shida mtoto atakayezaliwa atakuwa mdogo wa mkeo na shemeji kwako kwa kuwa umemwolea dada yake! Pia huyo mama mdogo wa mkeo atakuwa mke mwenza kwa mwanae...hongera kesho zaa na bibi wa mkeo!
Haina shida mtoto atakayezaliwa atakuwa mdogo wa mkeo na shemeji kwako kwa kuwa umemwolea dada yake! Pia huyo mama mdogo wa mkeo atakuwa mke mwenza kwa mwanae...hongera kesho zaa na bibi wa mkeo!
mwenye shamba JF-Expert Member May 31, 2015 972 1,669 Apr 3, 2016 #14 daah shetani hapa kazidisha,hivi hawa wa dar wana utindio katika bongo zao?
Werrason JF-Expert Member Nov 5, 2014 12,326 38,191 Apr 3, 2016 #15 Umeshamwambia kuwa mwanae ni mkeo???
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,111 115,900 Apr 3, 2016 #16 Matangazo ya condom hujawahi yaona? umepunguza?baada ya kugundua ni mkweo? hukuacha kabisa?
mwenye shamba JF-Expert Member May 31, 2015 972 1,669 Apr 3, 2016 #17 hivi hapa shetani alikupitia au we ndo ulimpitia mkaenda nae kwa hyo ma mkwe wako?
Rahabu JF-Expert Member Jan 21, 2014 5,525 3,316 Apr 3, 2016 #18 Hakuna ushauri hapa kilichokusibu kutembea mama zako