PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Wale wa Ngulelo, Matejo, Ngaramtoni, Sakina, Mbauda hadi Kisongo hata Dukabovu huko Meserani huko kote na kwingine njooni tupeane maramani!
Hawa machalii wa dsm ni masoro sana kama mademu tu hv yaani. Siku hizi naahindwa kutofautisha yupi demu yupi ke yaani maana wapo nyoronyoro sana kiswahili mingiiiiiii!