Nimemfumania Shem na Kicheche. Nipo Njiapanda

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,701
Reaction score
30,044
Jamani usiombe kukaa kwa shemeji yako halafu wewe mtoto wa kiume.unakuwa na hard time hasa.toka tumerudishwa home sababu ya corona niliona siwezi rudi bush country kwa wazazi so nijibanze kwa sister.

Tatizo sikuwa na nauli lakini kule bush ngeanza shirikishwa mambo ya kilimo.nami nlishakaa sana town nshakuwa soap soap.

Jumanne nmekutana na shem kwenye kakichochoro ka baa flan kampinda bar maid mmoja kicheche sana.huyo barmaid hata mimi nmewahi kumla...ila nlitumia condom.sababu wanasema ana grid

Shem nmemkuta kabisa anakamua kwenye huo uchochoro akiwa amekingwa na gari lake ili apige faster. mimi nlikuwa naenda kukojoa nlikuwa nipo hapo bar na mshkaji kanitoa out nami nipate taste ya mchujo wa ngano

Sikutaka enda kojoa choon maana sipendi harufu ya mikojo ya walevi.nlipofika eneo ndo nacheck hivi namwona shem.naye aliniona...kwa mshtuko akachomoa mashine na kurudisha surualini

Yule demu akaanza kumind kuwa nakatisha starehe za watu nikakojie mbali.mkojo nao ukakatika hata haukutoka.basi nikarudi kwa mezani sina amani

Sasa nipo njia panda naona kama shem anaweza kuwa kaungwa naye atamuunga sister.nashindwa mwambia sister sababu wote tutarudishwa home....sister akiamua kuondoka nami ntakosa pa kukaa hasa likizo.

Halafu shem wala hata hajanitafuta kunitaka radhi....amechukulia poa kinyama...kama vile hamna kitu.sasa nawaza si anampiga sister kavu na kule alipiga kavu...hii wadau namsaidiaje sister?

Changamoto hii inanitesa...na je wakibwagana na sister mimi ntakuwa nakaa wapi likizo chuoni?kama hivi kipindi cha corona wamenipiga tafu sana.of course nlikuwa nami nawasaidia kuosha magari yao, kufyeka majani,kunyoosha nguo za shem n.k.

But now nawaza nifanyeje...shem anakula vicheche tena hatarishi?imeniumiza sana...halafu hajali wala nini.anaona sawa tu.tena inaniuma zaidi yule binti nmekula mimi baadaye akawa ananikwepa kumbe sababu ya shem.shem anatuumiza mimi na sister.

Copy and paste
 
Mmhh dogo hii chai yako nine refuse kuinywa
 
Kinachokuumiza ni nini Kwani hujui tabia za Sisi wanaume au unamtaka Shem wako na wewe yani imekuuma sana Hadi umeandika uku embu tuliza tako apo usome acha kuingilia maisha ya watu
 
Kama ni shemeji ako kumwambia unaweza, unaweza anza na story za utani baadae ukapitisha lengo lako

Vipi ile ishu ya siku ile nasikiaga ina ngwengwe, huku ukiachia bonge la tabasamu asije situkia unampeleleza.

Japo ni ngumu we jaribu.
Si shemeji yako bhana na mnataniana?.
 
Mwandishi anasema hana utani na shemeji yake....ni wale mashem watu wazima flani wana act kidingi sana

Kama ni shemeji ako kumwambia unaweza, unaweza anza na story za utani baadae ukapitisha lengo lako

Vipi ile ishu ya siku ile nasikiaga ina ngwengwe, huku ukiachia bonge la tabasamu asije situkia unampeleleza.

Japo ni ngumu we jaribu.
Si shemeji yako bhana na mnataniana?.
 
Ngoja nihakiki kwa VAR nione shida ipo wapi
 
Attachments

  • IMG_20200526_170950.jpg
    IMG_20200526_170950.jpg
    29.4 KB · Views: 13
Mimi ningekuwa nakaa kwa shemeji yangu KWELI nisingethubutu hata kusema

Ningehisi aibu
 
Jamani usiombe kukaa kwa shemeji yako halafu wewe mtoto wa kiume.unakuwa na hard time hasa.toka tumerudishwa home sababu ya corona niliona siwezi rudi bush country kwa wazazi so nijibanze kwa sister.

Tatizo sikuwa na nauli lakini kule bush ngeanza shirikishwa mambo ya kilimo.nami nlishakaa sana town nshakuwa soap soap.

Jumanne nmekutana na shem kwenye kakichochoro ka baa flan kampinda bar maid mmoja kicheche sana.huyo barmaid hata mimi nmewahi kumla...ila nlitumia condom.sababu wanasema ana grid

Shem nmemkuta kabisa anakamua kwenye huo uchochoro akiwa amekingwa na gari lake ili apige faster. mimi nlikuwa naenda kukojoa nlikuwa nipo hapo bar na mshkaji kanitoa out nami nipate taste ya mchujo wa ngano

Sikutaka enda kojoa choon maana sipendi harufu ya mikojo ya walevi.nlipofika eneo ndo nacheck hivi namwona shem.naye aliniona...kwa mshtuko akachomoa mashine na kurudisha surualini

Yule demu akaanza kumind kuwa nakatisha starehe za watu nikakojie mbali.mkojo nao ukakatika hata haukutoka.basi nikarudi kwa mezani sina amani

Sasa nipo njia panda naona kama shem anaweza kuwa kaungwa naye atamuunga sister.nashindwa mwambia sister sababu wote tutarudishwa home....sister akiamua kuondoka nami ntakosa pa kukaa hasa likizo.

Halafu shem wala hata hajanitafuta kunitaka radhi....amechukulia poa kinyama...kama vile hamna kitu.sasa nawaza si anampiga sister kavu na kule alipiga kavu...hii wadau namsaidiaje sister?

Changamoto hii inanitesa...na je wakibwagana na sister mimi ntakuwa nakaa wapi likizo chuoni?kama hivi kipindi cha corona wamenipiga tafu sana.of course nlikuwa nami nawasaidia kuosha magari yao, kufyeka majani,kunyoosha nguo za shem n.k.

But now nawaza nifanyeje...shem anakula vicheche tena hatarishi?imeniumiza sana...halafu hajali wala nini.anaona sawa tu.tena inaniuma zaidi yule binti nmekula mimi baadaye akawa ananikwepa kumbe sababu ya shem.shem anatuumiza mimi na sister.

Copy and paste
Unataka kusema umeona rungu analoingizwa dada yako au sio, likoje
 
Back
Top Bottom