Nimemcheki Samatta kwenye Game ya Genk vs Anderletch. Samatta hana uwezo wa kucheza England

Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.

Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya.

Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk.

Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain. Hana zile mishemishe za kistriker. Bado anampira wa kitanzania.

Kama unaweza, panda juu nenda ukazibe.

Watu weusi tunaongoza kwa roho mbaya, tunaweza kumchukia mtu pasi na sababu yoyote mbaya zaidi huyo mtu unayemchukia hujawahi hata kukaa nae na kufanya conversation na isitoshe hakujui hata,,, Waafrika tunaroho mbaya sana hasa tunapoona mtu kafanikia huwa tunamchukia tuu bila ya sababu
 
Kabisa mkuu watu wana roho za ajabu kwel
Watu weusi tunaongoza kwa roho mbaya, tunaweza kumchukia mtu pasi na sababu yoyote mbaya zaidi huyo mtu unayemchukia hujawahi hata kukaa nae na kufanya conversation na isitoshe hakujui hata,,, Waafrika tunaroho mbaya sana hasa tunapoona mtu kafanikia huwa tunamchukia tuu bila ya sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta kafa tayari mwenye huu uzi....Habari za Aston Villa lazima pressure imemwondoa.

Ana roho kubwa eti
 
Back
Top Bottom