Nimemcheki Samatta kwenye Game ya Genk vs Anderletch. Samatta hana uwezo wa kucheza England

ketone

JF-Expert Member
Jan 22, 2016
508
622
Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.

Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya.

Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk.

Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain. Hana zile mishemishe za kistriker. Bado anampira wa kitanzania.
 
Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.

Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya.

Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .

Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain. Hana zile mishemishe za kistriker. Bado anampira wa kitanzania.
Mkuu inawezekana ukawa umesema ukweli Mchungu.....ila kwani England ndio kuna Mpira? au Kuna Mashabiki?
Mi napendekeza akitaka kutoka Genk aende spain tuu,England atakuwa mwanariadha tuu...ila akaze buti pamoja kuwa napambana na andeletch timu kongwe na kubwa na wamempania...fitna kwa MTU MWEUSI USISAHAU...
 
Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya..
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain... Hana zile mishemishe za kistriker... Bado anampira wa kitanzania....
Lakini ana goli nne katika mechi nne mpaka sasa na pia ana hat trick moja tayari msimu huu.

Kama ni bahati basi huyu ana bahati ya kipekee sana dunia nzima hakunaga..kwako mtoa mada..
 
Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya..
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain... Hana zile mishemishe za kistriker... Bado anampira wa kitanzania....
Natumai bado unaangalia mechi,kama hauangalii taarifa ni kwamba Sammata amebahatisha tena goli huko.

Kumbuka defence ya Anderlecht inaongozwa na Vincent Kompany.

1566590514063.png
 
Mkuu inawezekana ukawa umesema ukweli Mchungu.....ila kwani England ndio kuna Mpira? au Kuna Mashabiki?
Mi napendekeza akitaka kutoka Genk aende spain tuu,England atakuwa mwanariadha tuu...ila akaze buti pamoja kuwa napambana na andeletch timu kongwe na kubwa na wamempania...fitna kwa MTU MWEUSI USISAHAU...
Kama unataka kuona kandanda/ kambumbu likisakatwa bila kujali hadhi ya klabu basi tazama EPL ila kama unataka tactics tizama mechi zinazoihusisha Barcelona, Real Madrid pamoja na Atletico de madrid.
.
Kama unataka kuona vibe la mashabiki basi tazama bundesliga ya ujerumani, kambumbu liko EPL buda linahusisha kila kitu nguvu, mbinu, mbio n.k kwo mchezaji aliyezoea mipira ya Spain ya mbinu zaidi akikutana na beki za wolves lazima avunjwe kamguu
 
Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya..
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain... Hana zile mishemishe za kistriker... Bado anampira wa kitanzania....
Wivu utakuua.
 
Hata Suarez wa Barcelona yupo hivyohivyo tu.

Yeye ni kutupia tu na hapo Genk huwaambii kitu na asipopata majeraha ya muda mrefu atakuwa mfungaji bora wa msimu.

The end justifies the means,Dinho na vyenga vyake vyote vile ana Ballon moja tu.
 
Back
Top Bottom