Nimelipa kisasi kudadadeki

Tafadhali usihusishe M4C yetu na ushenzi wako.............hatukutambui na usitumie slogan ya peopleeess



Peopleeeeeessssssssssssss...........................


hahahahaaaaaasaaa.........piiippppooooooozzzzzzzzzzz
 

Nonsense!
 
nahisi nia yako ni ujue tutafikiria nin. Mshamba
 
unanitaftia ban ndugu. Nimetoka kwenye ban muda c mrefu.
 
Duh! Kweli si wote wanaopata ban ni ujinga wao!
 
Duh! Kweli si wote wanaopata ban ni ujinga wao! Ndio maana nawaomba Mods kwa heshima na taadhima waturuhusu baadhi ya thread tufunguke!
 

Mh!!!.....Ndugu yangu, ukiona umeula ujue umeliwa......
 
Kama mpo watu million 3 wa design yako maana yake chama chako kimepoteza kura zote, badilika mdau huo si ujanja
 
Watu kama huyu mleta mada ni janga la taifa..Ngumbaro kabisa, upuuzi mtupu!
 
maskini, mwenyewe alitegemea kusifiwa.
Hahaaa, lol kweli duniani kuna mambo.
 
Maisha yanaenda kasi sana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
uzinzi tu unakusumbua! na huyo mwanamke lazima ni changu haswaa wenye akili zao huwapati!.
 
Umeniboa!!!!! This show how cheap you are, why are you acting like that?
M4c ni kwa ajili ya maendeleo ya mtanzania, lakini wewe hata shetani anakushangaa..........
................kimsingi umeniboa na mimi nikiwa mwanaume aliyesimama kikamilifu nakushauri ujirekebishe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…