Nimelichoka penzi la huyu dada wa kizungu

Wewe umefanyiwa ukatili wa kingono.

Haiwezekani mtu hujaridhia, anakukamata na kukunyonya denda. Anakuja kukuambia I love you baadae.

Alipaswa aeleze hisia zake juu yako kisha uridhie ndiyo afanye alichokifanya.

Ungefanya wewe, ungejuta. Ila kwa sababu hujielewi akajipakulia denda.

Kamshtaki upate hela.
 
Hii idea nimeipenda sana.
 
Alikuwa amelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…