Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Kwa sasa ninaingia steji ya utu uzima (Nnakaribia kuingia miaka 25) ninaweza kusema naingia rasmi utu uzima kwa kujitambua to the next level na hivi ndivyo vitu navyotaka kuvifanya katika idara yangu ya mambo ya mtandao internet
1.Nmeacha Kutumia instagram kucheki mtu asienihusu wala kunijua( kama mastaa wa bongo) amepost nini, Hapa naacha rasmi hii kitu kina Diamond waendelee na maisha yao, Mungu awape maisha marefu.
2. Kushiriki katika magroup ya whatsapp yasiyo na faida kwangu, mfano magroup kama wcb au team kiba sijui team fisi ....nimeleft haya magroup hayana faida kwangu tena.
3. Kuunga bundle zenye mb nyingi, hizi bando nlikua naunga ili nicheki youtube, instagram, facebook ,downloading n.k saizi mb 10 za sehemu muhim kama jamiiforums zinanitosha.
4. Kupost maisha fake...amini usiamini huko insta wabongo tunaishi fake life, insta imebadilisha wachafu kuwa matozi wa kugongea pamba na kuazima vitu vya thamani wakijinadi ni vyao....Nmekuwa mtu mzima sasa mafanikio hayangelewi bali yanaonekana, najitambua bye bye fake life
5. Nikiingia kitandani simu naagana nayo mezani, Mimi kwa kawaida nikiingia kulala saa tano nikiwa nina mb basi hapo kulala ni saa saba, Mara niende insta, mara whatsapp mara face book ...huu utumwa nauacha.
6.Sifati mikumbo natumia akili yangu...haha ha yani najicheka kuna kioindi nlikuwa nafatilia habari za mtu flani ana followers wengi yeye ni mtanzanja ambaye yupo nchi za nje, Mtu yupo nje anapost tuandamane...kwanini yeye asije tupigwe naye wote virungu,,,Anaemsifia leo anamponda kesho Unafki mtupu....Nmeacha ule msululu
Ntaendelea......