kwani c umetoboa siri!Mi chimo.
Kopi: Chibolo
hongera kwa kuwa kenya ila nina msuto nataka nikupe.
hivi wewe mpaka uone mwenzio kachumbiwa ndo uanze usukununu wako?? kalaghabao babuuuuuuuuuu ndoa hyoooooooo inapepea kesho naenda kupokea mahari.

you mean huu mtanange mkalenjin ndo kaibuka mbabe? Aisee
kaniaga eti yupo torabora
hivi enh! basi mie najua alipo mweeh! nipe dau tukamshike ugoni