Ndugu wanaJF dakika chache zilizopita nimeenda dukani kununua soda ya STONEY TANGAWIZI, ila cha kushangaza nikiwa nakunywa ghafla nikashtuka kuona ndani ya soda kuna kizibo kimekunjwa na kinaonekana kimeshka kutu. Nikaamua kumimina soda kwenye bakuli naye pia nikaona ina rangi ya kikahawia inayoambatana na kuchafu mweusi.!! Nipo cross road wandugu juu ya afya yangu sijui hata nifanyeje!? Kuweni makini na hz soda si salama salimini.
pole sana mkuu.
kama upo safarini nakuonea huruma maana itabidi ukatishe safari coz utakuwa pia nawe unaendesha piki piki yako lol....
Ahsante ndugu yangu, but sipo safarini nipo home nacheck game ya Arsenal na Liverpool still naogopa kiafya.!
pole sana, miaka kadhaa nyuma kwenye 2007 hivi nilikunywa stone tangawizi, nikaiona ya ajabu, nilipoimimina kwenye glass nikakuta sponge.
Toka siku hiyo nimepunguza sana kunywa soda, na ninapokunywa huwa naichunguza kwanza
Ndugu wanaJF dakika chache zilizopita nimeenda dukani kununua soda ya STONEY TANGAWIZI, ila cha kushangaza nikiwa nakunywa ghafla nikashtuka kuona ndani ya soda kuna kizibo kimekunjwa na kinaonekana kimeshka kutu. Nikaamua kumimina soda kwenye bakuli naye pia nikaona ina rangi ya kikahawia inayoambatana na kuchafu mweusi.!! Nipo cross road wandugu juu ya afya yangu sijui hata nifanyeje!? Kuweni makini na hz soda si salama salimini.
me ni wakili ambulance chaser vipi upo tayari twende tuandike demand letter tupewe pesa.
cha kufanya kesho mrng nenda hospital mwambie daktari akuandikie unaumwa tupo na umepata tatzo ili tuwe na cause opf action ni pm nkusaidie
for long tym nilikuwa sijanywa soda nikasema ngoja leo ninywe leo yakaibuka hayo. I swear to my Dog sitakunywa tena haya masoda.!
me ni wakili ambulance chaser vipi upo tayari twende tuandike demand letter tupewe pesa.
cha kufanya kesho mrng nenda hospital mwambie daktari akuandikie unaumwa tupo na umepata tatzo ili tuwe na cause opf action ni pm nkusaidie
Chitemo wa Makanga kuryaku LIKES your COMMENT.!
Janja Pori imekula kwenu maana mie ni mwanasheria wa kampuni inayozalisha hiyo soda ya stoney tangawizi. Nitathibitisha kuwa mteja wako hajapata madhara yoyote kutokana na soda aliyokuwa ila wewe ndio umemfundisha kusema uongo ili alipwe. Hahahahahaaa you are not a good ambulance chaser!