Nimekumbuka Singida (Mnyaturu mimi)[emoji41]

Tulikuwa tuna lori flani tunaenda minadani kule ndo nilijua vijiji vingi hasaa vya iramba.
Kiomboi
Mtekente
Ufana
Shelui
Sekenke
Pia njia panda ilikuwa raha sana kipindi hicho kula bata ya kufa mtuu!!chapa sana watoto wa kinyiramba na wataturu wale wanaacha nyonyo wazi.
Mkuu nilianzia kazi Ushora kama unapasikia miaka hiyo dah! Maisha haya
 
Tulikuwa tuna lori flani tunaenda minadani kule ndo nilijua vijiji vingi hasaa vya iramba.
Kiomboi
Mtekente
Ufana
Shelui
Sekenke
Pia njia panda ilikuwa raha sana kipindi hicho kula bata ya kufa mtuu!!chapa sana watoto wa kinyiramba na wataturu wale wanaacha nyonyo wazi.
Mtinko,Nduguti, Sepuka, Ikungi,
 
Nimezaliwa na kukulia jeshini 601 KJ airbase Ngerengere jeshini ila dingi kauzu sana, nilipofikisha miaka 6-9 dingi alinipeleka na kuniacha singida kijijini saaana nijifunze desturi na mila za kinyaturu.

Ne guenda usempa nyonyi,
Guglya meye
Guthryura diu, gusengeya ng'ombe pende

Ne gudema gugifaghama (mieleka)

So karibuni
wanyaturu na wanyiramba
Na wengine
View attachment 1138090View attachment 1138093View attachment 1138097
Mitaa ya Singida..... Kindai, Utemini, Kibaoni Mitunduruni, Unyankindi, Ipembe, Ukombozi, Mwenge, Kititimo, Ginnery, Jovena, Singidani, Sabasaba, Uwanja wa Ndege, Unyanga, Mwaja, Bomani, Njuki, Sido, Magereza, Field Force, Sokoine, Stand Mpya mingine ongeeni kitambo sana enzi izo tunaingia Disco Jumba na Utamaduni Tsh 50 au Legho Singida Motel
 
Nilishawahi pita pita kipindi hicho wanaanzisha wilaya mpya ya Mkalama, sehemu za Iguguno,Kinyangiri,Mwanga,Msingi,Nduguti,Mwngeza!

Nimekula sana kuku!
 
Back
Top Bottom