Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,921
- 4,216
Na changu uta kula lini[emoji41]Hapa maskani Nina kibwawa kidogo nafuga samaki kambale....nafuga na bata ambao nawatumia km sehemu ya kuimarisha mfugo wa kambale.
1.kinyesi chao ni chakula cha samaki wanavyoogelea.
2.wanafanya oxygen ipatikane kwa uraisi kwa samaki,cz wanavyoogelea maji hayatulii yanachezacheza usaidia mzunguko wa hewa kwa kambale.
Nimetoa ufafanuzi keupusha maswali kwann nafuga bata na samaki.
Direct kwenye hoja ya msingi tangu Niko mdogo niliaminishwa kichwa cha bata hakiliwi.
Leo nimevunja mwiko wadau ni nimekula ni kitamu sana hasa Yale madude usoni ni km unakula mayai...
Kiukweli sitatupa tena kichwa cha bata.
Jaribu na wewe kula husikariri maneno ya watu.
Nimetupia kambale
Hahaha,Ashukuriwe Magufuli, badobado tu mda kidogo utaanza kula na manyoya yake!
Elezea kama yeye alivyoelezea basi!Majitu mchafu ww eti kama mayai
Nmecheka sana mkuu ππππππulianza fresh kuelekeza jinsi ya kufuga samaki ila umekwama hapo mwishoHapa maskani Nina kibwawa kidogo nafuga samaki kambale....nafuga na bata ambao nawatumia km sehemu ya kuimarisha mfugo wa kambale.
1.kinyesi chao ni chakula cha samaki wanavyoogelea.
2.wanafanya oxygen ipatikane kwa uraisi kwa samaki,cz wanavyoogelea maji hayatulii yanachezacheza usaidia mzunguko wa hewa kwa kambale.
Nimetoa ufafanuzi keupusha maswali kwann nafuga bata na samaki.
Direct kwenye hoja ya msingi tangu Niko mdogo niliaminishwa kichwa cha bata hakiliwi.
Leo nimevunja mwiko wadau ni nimekula ni kitamu sana hasa Yale madude usoni ni km unakula mayai...
Kiukweli sitatupa tena kichwa cha bata.
Jaribu na wewe kula husikariri maneno ya watu.
Kuna siku nilikibanja kichwa cha kuku kilichochemshwa yale makitu kitu mle nilijiapiza kichwa sitakua nakigusa hata kipikweje leo unilishe bata? Vile anavyochokora maj machafu na huku kwetu kuna majongoo makubwa meusi nikamuona bata analila awee hapana
hahaaSema tu umekula amberruty mkuu
duh!!, hao wakaonane na wale jamaa wa Guinness book " wanaweza kupewa mshiko wa maana tu .Maana sio kwa hizo recordShem punguza hasira, japo nakuunga mkono, mi pia sili kichwa cha kiumbe chochote, achilia mbali kuku/bata[emoji18]
Ila kuna watu wanakula mpaka kichwa cha mdudu/noah (kitimoto). Sasa hebu kitafakari kichwa cha noah kilivyo, ilepua kama fuso, macho kama taa za benzi old model Mafua yasiokatika kwa kupekenyua vinyesi na uchafu.