Chumvini na kichwa cha bata bora nn?Shem punguza hasira, japo nakuunga mkono, mi pia sili kichwa cha kiumbe chochote, achilia mbali kukua/bata
Ila kuna watu wanakula mpaka kichwa cha mdudu/noah (kitimoto). Sasa hebu kitafakari kichwa cha noah kilivyo, ilepua kama fuso, macho kama taa za benzi old model Mafua yasiokatika kwa kupekenyua vinyesi na uchafu.
Shem punguza hasira, japo nakuunga mkono, mi pia sili kichwa cha kiumbe chochote, achilia mbali kukua/bata
Ila kuna watu wanakula mpaka kichwa cha mdudu/noah (kitimoto). Sasa hebu kitafakari kichwa cha noah kilivyo, ilepua kama fuso, macho kama taa za benzi old model Mafua yasiokatika kwa kupekenyua vinyesi na uchafu.
Sasa huyu IKIRIRI kaniuliza swali hapo juu tu ya comment yako, eti kichwa cha kitimoto au chumvini wapi bora?Hahaha hamna sjafanya hasira shem memwambia tu
Watu wanayaweza sana
Sasa huyu IKIRIRI kaniuliza swali hapo juu tu ya comment yako, eti kichwa cha kitimoto au chumvini wapi bora?
Naona hata noma kumjibu, kwasababu upo humu, halafu jana tu ulinambia we ni mbea kuliko maelezo, mpaka unajiogopa
Mbona ile kitu unalamba unajua imepitia sehemu ngapi?
Ni ripueHahahahahahahahahahahahah jamani had naona aibu
sikujibu kokoteNijibu pm
Ni ripuena jibu langu au nsiripue shem?
Ila acha tu, dadako anaweza akanikataa bure kwa utundu
hata akijua hakuna shida lakink sitakujib kokoteUbaya huo Shem wako hatojua ni siri
KICHWA CHA KUKU.Hapa maskani Nina kibwawa kidogo nafuga samaki kambale....nafuga na bata ambao nawatumia km sehemu ya kuimarisha mfugo wa kambale.
1.kinyesi chao ni chakula cha samaki wanavyoogelea.
2.wanafanya oxygen ipatikane kwa uraisi kwa samaki,cz wanavyoogelea maji hayatulii yanachezacheza usaidia mzunguko wa hewa kwa kambale.
Nimetoa ufafanuzi keupusha maswali kwann nafuga bata na samaki.
Direct kwenye hoja ya msingi tangu Niko mdogo niliaminishwa kichwa cha bata hakiliwi.
Leo nimevunja mwiko wadau ni nimekula ni kitamu sana hasa Yale madude usoni ni km unakula mayai...
Kiukweli sitatupa tena kichwa cha bata.
Jaribu na wewe kula husikariri maneno ya watu.