Sema tu umekula amberruty mkuuHapa maskani Nina kibwawa kidogo nafuga samaki kambale....nafuga na bata ambao nawatumia km sehemu ya kuimarisha mfugo wa kambale.
1.kinyesi chao ni chakula cha samaki wanavyoogelea.
2.wanafanya oxygen ipatikane kwa uraisi kwa samaki,cz wanavyoogelea maji hayatulii yanachezacheza usaidia mzunguko wa hewa kwa kambale.
Nimetoa ufafanuzi keupusha maswali kwann nafuga bata na samaki.
Direct kwenye hoja ya msingi tangu Niko mdogo niliaminishwa kichwa cha bata hakiliwi.
Leo nimevunja mwiko wadau ni nimekula ni kitamu sana hasa Yale madude usoni ni km unakula mayai...
Kiukweli sitatupa tena kichwa cha bata.
Jaribu na wewe kula husikariri maneno ya watu.
hapana,Nn madam ,try it
Cha kuchemsha kitamu sana@ tatizo umekariri
Kuku anakula vitu vichafu than bata,Kuna siku nilikibanja kichwa cha kuku kilichochemshwa yale makitu kitu mle nilijiapiza kichwa sitakua nakigusa hata kipikweje leo unilishe bata? Vile anavyochokora maj machafu na huku kwetu kuna majongoo makubwa meusi nikamuona bata analila awee hapana
mm huwa nakula MkuuUnacheka nn mkuu kitamu kwelikweli try it husikariri
Shem punguza hasira, japo nakuunga mkono, mi pia sili kichwa cha kiumbe chochote, achilia mbali kuku/bata[emoji18]Kuna siku nilikibanja kichwa cha kuku kilichochemshwa yale makitu kitu mle nilijiapiza kichwa sitakua nakigusa hata kipikweje leo unilishe bata? Vile anavyochokora maj machafu na huku kwetu kuna majongoo makubwa meusi nikamuona bata analila awee hapana
Kuku anakula vitu vichafu than bata,