Customer service and caring nisawa kabsa ungenisaidia coz yake mkuu ningeshukur sanaa
from mudi kidato
Asante sana ntajitaid kuuliza zaid nipate wap pakuanzia asante kwa hili sanaSina hakika sana kama course hii inatolewa kama program inayojitegemea, mara nyingi huwa ni sehemu tu ya course ndani ya program zinazohusiana na biashara,masoko na zingine kama hizo.
Kwa issue hii unayohitaji wewe huwa wanatoa vigezo vya ujumla tu kama vile uwe una elimu ya kuanzia form 4/6, uwe na uwezo wa kuongea na kuandika kiswahili na kiingereza kwa ufasaha. Baada ya hapo huwa wanatoa special training zao kulingana na mahitaji ya wateja wao pindi wanapo wahudumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe pia bro uwe unafanya kama ulivyowashauri wenzako.Munawapa kazi mod kurekebisha maneno yenu
Jitahidi kuandika na kasoma kabla hujapost
Haitaitaj form 5+6
from mudi kidato
Hahahaa umeona eeh anashaul wakat yeye pia abatakiwa ashauliweWewe pia bro uwe unafanya kama ulivyowashauri wenzako.
Wewe ni kiazi kweli unataka utupangia cha kukushauriNime ediot mwenyew ila...jf hatutak watu kama ww tunataka watu serious ndugu
from mudi kidato
Umekuja kujibu na id nyingneWewe pia bro uwe unafanya kama ulivyowashauri wenzako.
I Know all about this am not the one who need this type of an assistance, you have to understnd the thread. for any business customer care is how to a handle a customer and render good service that can satisfy a customerNaona kama mnachanganya mambo. Kuna tofauti kati ya costomer care na customer service, customer service ndio huduma kwa mteja.
Customer service is giving assistance to customers on how to best use the product, trouble-shooting any issues, and ensuring they had a great buying experience.
Customer care means how well customers are taken care of while they interact with the brand.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekariri, Sio kila mtu ana id mbilimbili.Umekuja kujibu na id nyingne
Mimi nina elimu ya ujasliamali naandika kitabu kiweze kuwasaidia watanzania namna ya kuanzisha na kuenenda kwenye biashara zao 'how to start, behave and manage business'Naitaj kuwa shop ndo ndoto yangu kubwa najarbu kutafuta njia za kufka pale
from mudi kidato
Aah itakuwa vzir zaid wazo lako ukalifanya mapema zaid na kwa wakatMimi nina elimu ya ujasliamali naandika kitabu kiweze kuwasaidia watanzania namna ya kuanzisha na kuenenda kwenye biashara zao 'how to start, behave and manage business'
Kama umeshindwa kuelewa mkuu bc hata ukielewa hautaweza nishaul k2andika vizuri basi usiwe unakimbia