Mudi_kidato
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 146
- 184
MaanaHongera kwa uthubutu
Kwa kuwa English haikusumbui sana naomba uniambie maana ya customer care!
Nadhani hapo utakuwa unajua haswa unachokihitaji kuliko sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
define: customer care sio unarudia kwa kiswahili, alafu wewe mbona tiari unafanya customer care au unataka ipiMaana
Huduma kwa wateja
from mudi kidato
Kama una sajili lain(sim card) we we tayari ni customer careMm nikijana wa miaka 22 naish dar kaz yangu kwa sasa nasajir lain na ndo kaz yangu ya mda mrefu sana toka 2016 ila ndoto yangu kubwa sana kuja kuwa customer care wa mtandao wowote ule ushaul wenu kwaanae jua nipitie njia gan au nisomee coz gan nigikie malengo yangu ilamm kielimu nimeishia darasa la 7 ila English hainisumbuwi sanaaa karbu mawazo yako nayaheshim sana [emoji120]
from mudi kidato
Naitaj kuwa shop ndo ndoto yangu kubwa najarbu kutafuta njia za kufka pale
Kwasababu huwa naskia wanachukua wanafunz wachuo wanapewa coz fup zen wanaajiriwa namm nataka kupitia njiahiyo au nisomee fan gan ndo swal langu
Naitaj kuwa shop mm niko mtaan yaan mm naitwa frilensa na wa shop ni customer care coz yeye yupo shop ya mtandao husikadefine: customer care sio unarudia kwa kiswahili, alafu wewe mbona tiari unafanya customer care au unataka ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kipi ambacho nimekosea au hujaelewaMunawapa kazi mod kurekebisha maneno yenu
Jitahidi kuandika na kasoma kabla hujapost
Wamekusaidia kueditNi kipi ambacho nimekosea au hujaelewa
from mudi kidato
Nime ediot mwenyew ila...jf hatutak watu kama ww tunataka watu serious nduguWamekusaidia kuedit
Maana
Huduma kwa wateja
from mudi kidato
define: customer care sio unarudia kwa kiswahili, alafu wewe mbona tiari unafanya customer care au unataka ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kama mnachanganya mambo. Kuna tofauti kati ya costomer care na customer service, customer service ndio huduma kwa mteja.Hongera kwa uthubutu
Kwa kuwa English haikusumbui sana naomba uniambie maana ya customer care!
Nadhani hapo utakuwa unajua haswa unachokihitaji kuliko sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks hiki ndicho nakiijat kujuwa cyo kejer sasa najua m. Naitaj nini nacyo mwanzo nilikuwa nawaza nnNaona kama mnachanganya mambo. Kuna tofauti kati ya costomer care na customer service, customer service ndio huduma kwa mteja.
Customer service is giving assistance to customers on how to best use the product, trouble-shooting any issues, and ensuring they had a great buying experience.
Customer care means how well customers are taken care of while they interact with the brand.
Sent using Jamii Forums mobile app
Customer service and caring nisawa kabsa ungenisaidia coz yake mkuu ningeshukur sanaaKazi anayotamani huyu bwana ni Customer service provider ambayo inahitaji awe na mafunzo ya customer serving and caring.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu tupo pamoja daimahard work forever pays, kuna siku utakuwa unayetaka kuwa.. Hongera
Sidhani kama kuna vyuo vya kupokea standard seven hivyo soma Qt ni miaka 2 huku unaendelea na kazi zako utakuwa umemaliza form four kisha utaanzia certificateCustomer service and caring nisawa kabsa ungenisaidia coz yake mkuu ningeshukur sanaa
from mudi kidato
Haitaitaj form 5+6Sidhani kama kuna vyuo vya kupokea standard seven hivyo soma Qt ni miaka 2 huku unaendelea na kazi zako utakuwa umemaliza form four kisha utaanzia certificate
Sent using Jamii Forums mobile app