shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] Safiiiiiii sana mku mm nguvu nimelekeza uko kazin naingia kwa bip to laki niingia kwenye mifugo yang sikos kalak kila week namba siisomi sanamie siiisome number kokote kwani nilishakuwa kuku wa kienyeji siku nyingi, nilijua mapama kuwa serikali hizi za siesiem kila kitu wanabahatisha, nikawa mjasiriamali, nauza kila kinachokuja mbele yangu.
habari wadau.
hiii awamu niliishangilia sana wakati inaanza na hata kampeni nilikuwa upande wao. na nilimpigia kura tinga tinga aje aijenge nchi..
ila pamoja na yote nami naisoma namba kama mwana ccm na vyama vingine vyote wote tunanyooka
niliacha kazi mwez uliopita na nikaenda nssf kufungua madai wakaniambia nirudi leo.
leo nimeenda nssf kinondoni jibu nililopewa limenikatisha tamaa
nimekubali hii awamu tutaishi kama mashetani... haijalishi upo chama gani..
inauma lakini ndio ukweli ukiacha kazi mwenyewe ( resignation) awamu hii lazima uwe na saving ya kutosha. usitegemee mafao sijui nssf, ppf, lapf,pspf huko kote hawacheki na mtu ni mwendo wa kutoswa tu hela zako
nimeattach wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele kama dedication kwetu wote tunaoisoma namba bila kupenda
Khaaaa! Unasema unauza nini? Ntakutafuta?mie siiisome number kokote kwani nilishakuwa kuku wa kienyeji siku nyingi, nilijua mapama kuwa serikali hizi za siesiem kila kitu wanabahatisha, nikawa mjasiriamali, nauza kila kinachokuja mbele yangu.
Suala hapa ni kuwa hakuna fao la kujitoa!Hii inakula kote kote,wafanyakazi ndio wamegeuzwa mbuzi wa kafara kwa kila namna!Vipi vyeti vyako vimekamilika? kwanini umeacha kazi? maswali ni mengi hapa
Nssf huwa wanatoa mafao baada ya miezi 6, umeendaje leo?habari wadau.
hiii awamu niliishangilia sana wakati inaanza na hata kampeni nilikuwa upande wao. na nilimpigia kura tinga tinga aje aijenge nchi..
ila pamoja na yote nami naisoma namba kama mwana ccm na vyama vingine vyote wote tunanyooka
niliacha kazi mwez uliopita na nikaenda nssf kufungua madai wakaniambia nirudi leo.
leo nimeenda nssf kinondoni jibu nililopewa limenikatisha tamaa
nimekubali hii awamu tutaishi kama mashetani... haijalishi upo chama gani..
inauma lakini ndio ukweli ukiacha kazi mwenyewe ( resignation) awamu hii lazima uwe na saving ya kutosha. usitegemee mafao sijui nssf, ppf, lapf,pspf huko kote hawacheki na mtu ni mwendo wa kutoswa tu hela zako
nimeattach wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele kama dedication kwetu wote tunaoisoma namba bila kupenda
Nssf huwa wanatoa mafao baada ya miezi 6, umeendaje leo?
kamanda wenzake wanafuatilia mada yeye anapiga selfie...kuwarushia makamanda,akili za mbayuwayu..hizi.habari wadau.
hiii awamu niliishangilia sana wakati inaanza na hata kampeni nilikuwa upande wao. na nilimpigia kura tinga tinga aje aijenge nchi..
ila pamoja na yote nami naisoma namba kama mwana ccm na vyama vingine vyote wote tunanyooka
niliacha kazi mwez uliopita na nikaenda nssf kufungua madai wakaniambia nirudi leo.
leo nimeenda nssf kinondoni jibu nililopewa limenikatisha tamaa
nimekubali hii awamu tutaishi kama mashetani... haijalishi upo chama gani..
inauma lakini ndio ukweli ukiacha kazi mwenyewe ( resignation) awamu hii lazima uwe na saving ya kutosha. usitegemee mafao sijui nssf, ppf, lapf,pspf huko kote hawacheki na mtu ni mwendo wa kutoswa tu hela zako
nimeattach wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele kama dedication kwetu wote tunaoisoma namba bila kupenda
kamanda wenzake wanafuatilia mada yeye anapiga selfie...kuwarushia makamanda,akili za mbayuwayu..hizi.
View attachment 400639
Huna haja ya kuisoma Namba ,nenda kaoshe miguu ya wanene wa ufipa utapata pesahabari wadau.
hiii awamu niliishangilia sana wakati inaanza na hata kampeni nilikuwa upande wao. na nilimpigia kura tinga tinga aje aijenge nchi..
ila pamoja na yote nami naisoma namba kama mwana ccm na vyama vingine vyote wote tunanyooka
niliacha kazi mwez uliopita na nikaenda nssf kufungua madai wakaniambia nirudi leo.
leo nimeenda nssf kinondoni jibu nililopewa limenikatisha tamaa
nimekubali hii awamu tutaishi kama mashetani... haijalishi upo chama gani..
inauma lakini ndio ukweli ukiacha kazi mwenyewe ( resignation) awamu hii lazima uwe na saving ya kutosha. usitegemee mafao sijui nssf, ppf, lapf,pspf huko kote hawacheki na mtu ni mwendo wa kutoswa tu hela zako
nimeattach wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele kama dedication kwetu wote tunaoisoma namba bila kupenda
Mpiga Dili wewe huna lolote. Ndio nyinyi mlikuwa mnakunywa supu kutwa nzima pale NBC Club. Leo hii mnaagiza supu moja na mnaomba michuzi ya supu kavu ili mshee na chapati mlizonunua kwa mama chamwenyi uswazi. Maana hata chapati za pale zinawashinda bei.habari wadau.