Off course, ni intelligent kuliko Barbarosa ......................!!!
Ni nchi chache za kijinga unazoweza kukuta shule za binafsi nzuri kuliko za serikali na hospitali za private zikiwa nzuri kuliko za serikali. Highly stupid arrangement!
....wacha mbwembwe...!... nchi za kijinga maana yake nini? ondoka basi ukaishi kwenye hizo nchi unazoziona ni za kiwerevu..!mtu unakuwa na hoja muflisi kama "unadandiwa" na vijana !
sasa natamani kujua je amepata jibu kwa nini Bi helen hakwenda Muhimbili na hayo majibu atayaweka hadharani au atayafanyia kazi kimyakimya au atayaacha kama alivyoyaona?
Kutembelaa wagonjwa ni vizuri sana hata Mungu ametuagiza kufanya, hivyo, mimi naona atachoka kwani nchi yetu ni kubwa na uongozi ni hekima, busara na sayansi, Hivyo aunde timu binafsi za kumshauri na utekelezaji kuhusu Uchumu, Usalama, Afya, Elimu, Kilimo, Vyote hivi viwe na watu kutoka nje na wachache ndani ya nchi, Nchi za kuchukua hawa wataalam Israel,USA, German, Japani na Singapore.
Akitengeneza timu ya namna hii baada ya miaka miwili tutashudia Tz ikipaa kiuchumi.
hawa wezi wanashida sana ... Mmesahau kuwa JK alianza kwa kasi zaidi yake ... Huyu bado anaongozwa remotely from Msoga ... Kasuku anauwezo wa kukariri milio mbali mbali ... wakati Mwingine hujiona kenge eti akinyeshewa na yeye anaingia majini kujiloweka zaidi ... Hili FUTUHI hatulikubali ...