Nimekuachia namba unitafute halafu unanitafuta tunachati unaniambia una mtu wako

Grau

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
4,224
3,845
Habari wana MMU?

Kunaki pisi kimoja nilikutana nacho jana, nikakiingizia swagga nikama nakitaka kikawa ni dizaini fulan kimeelewa show.

Sasa leo sina hili wala lile kimenitafuta nikawa nimekiomba appointment et baadae kinasema oooh namtu wangu sasa kimenitafuta kufanyaje? Nyambafu
 
740237EF-0748-4E5A-87DC-6D7071DEE3D5.jpeg
 
Kuna kidemu nilikitafuta nikakiimbisha kikakubali fresh siku ya pili nakitext eti ata namba yangu hajaisevu sikumtafuta tena
Kuna videmu vijinga...Mimi kilikuja Hadi hoteli eti kikaana kukataa kuingia. Baada ya kumwambia acha ujinga mbona sikuelewi swaga gani hizi? Kikakubali kuingiaa room,..kuingia ndani kikaanza kushangaa eti kwa nini nimekiita room...nikamwambia hivi mbona unajitoa akili hivi...kwa hiyo Hadi unaingia humu huelewi chochote?kikaanza usumbufu ....nikakitimuaa...
 
Habari wana MMU?

Kunaki pisi kimoja nilikutana nacho jana, nikakiingizia swagga nikama nakitaka kikawa ni dizaini fulan kimeelewa show.

Sasa leo sina hili wala lile kimenitafuta nikawa nimekiomba appointment et baadae kinasema oooh namtu wangu sasa kimenitafuta kufanyaje? Nyambafu
Anakupima uwezo wako wa kutongoza
 
Mwambie huna madhala na mtu wale yeye aje tu vingine vitajiseti mbeleni, utakion kinakuja kuliwa.

Hiyo ni kweli kina mtu anakidinya sasa wakat ukiwa unakipelekea moto ikitokea amepiga simu kiwe huru kuongea kwa vile kilisha kuambia kina mtu
 
Namm nimekiambia hvyo hvyo kuwa we endelea na mtu wako ila namm nifikirie fikirie hakijanijibu et
 
Habari wana MMU?

Kunaki pisi kimoja nilikutana nacho jana, nikakiingizia swagga nikama nakitaka kikawa ni dizaini fulan kimeelewa show.

Sasa leo sina hili wala lile kimenitafuta nikawa nimekiomba appointment et baadae kinasema oooh namtu wangu sasa kimenitafuta kufanyaje? Nyambafu
Kwa hiyo mzee hiyo pisi Kali ulitaka iwe haina mtu? We fanya yako halafu atachagua mwenyewe kati ya wewe na huyo mtu wake.
 
Back
Top Bottom