Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,277
- 7,955
[emoji23][emoji23]Hela ikienda huko ni non refundable, ila utatumia miezi 10 Hio pesa yako, niliwahi kununua vocha ya 300,000 badala ya 30000 nilitaka jiunga bundle la mwezi, Voda waligoma kabisa kunirefund, kwa hasira niliwaunga watu wangu wote wa karibu vifurushi vya mwezi mpaka ikaisha
[emoji23][emoji23]Daah pole sana mkuu ila bora wewe ni king'amuzi mimi nilishawahi kununua vocha ya 150K badala ya 15K and the same LUKU ya 400K badala ya 40K.
Yaan just single digit tu aisee
aisee mambo haya yanaumiza sana,Daah pole sana mkuu ila bora wewe ni king'amuzi mimi nilishawahi kununua vocha ya 150K badala ya 15K and the same LUKU ya 400K badala ya 40K.
Yaan just single digit tu aisee
nitaleta mrejesho kesho
aisee!Laki 2 yote umetoa wapi hela nyingi hvyo
Pole....zutu limeshaingia kwenye mfumo.Habari zenu jamani....
Nimelipia Azam kwa kukosea, badala ya 25,000 nimelipia 250,000.
Msaada wenu niwapigia huduma kwa wateja hata haipokelewi.
Kula chuma hicho!Kivumbi Leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kulipia Azam decoder ni direct kutoka kwa mteja mojakwamoja kwenye decoder, pesa wanaweza kukurudishia chap maramoja. Ila kama malipo Lazima yapitie selcom ndio yaingie kwenye decoder yako basi kimbembe huwa selcom. Na kwasabb hiyo watakushauri uangalie miezi 10Habari zenu jamani....
Nimelipia Azam kwa kukosea, badala ya 25,000 nimelipia 250,000.
Msaada wenu niwapigia huduma kwa wateja hata haipokelewi.
Mkuu ulifanyaje sasa au uliamua kusamehe?Daah pole sana mkuu ila bora wewe ni king'amuzi mimi nilishawahi kununua vocha ya 150K badala ya 15K and the same LUKU ya 400K badala ya 40K.
Yaan just single digit tu aisee
Mchepuko au?Bora hata kingekuwa changu nimemlipia mtu
Kwani Trafic Police wanarudishaga change?Kitu pekee ambacho nina uhakika nacho ni HELAAA HAIRUDIII...!!
Dah we jau mkuuπππ€Ndugu mteja hata sisi tumeingiza kwenye bajet zetu
Asante
Azam TV burudani kwa wote
10 daima damdam
Na kama ikirudi itakuwa baada ya miezi kadhaaKitu pekee ambacho nina uhakika nacho ni HELAAA HAIRUDIII...!!
Dah ππππNdugu mteja hata sisi tumeingiza kwenye bajet zetu
Asante
Azam TV burudani kwa wote
10 daima damdam