Nimekosea kulipia King'amuzi

Hela ikienda huko ni non refundable, ila utatumia miezi 10 Hio pesa yako, niliwahi kununua vocha ya 300,000 badala ya 30000 nilitaka jiunga bundle la mwezi, Voda waligoma kabisa kunirefund, kwa hasira niliwaunga watu wangu wote wa karibu vifurushi vya mwezi mpaka ikaisha
 

Atarudishiwa mkuu kuna hela ikizidi laki hivi unarudishiwa kama ukikosea kulipa.
 
Kama ni mchuchu basi umejihakikishia papuchi kwa mwaka mzima...(kidding 😁😁)
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Habari zenu jamani....

Nimelipia Azam kwa kukosea, badala ya 25,000 nimelipia 250,000.

Msaada wenu niwapigia huduma kwa wateja hata haipokelewi.
wanapokea itakuwa umelioa adv ya miezi 10 hakuna hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…