pure crazy
Senior Member
- Nov 28, 2013
- 190
- 37
Habar za jumatatu wana jukwaa naomben msaada juu ya jambo hili nina mchumba wangu jaman kuna siku aliniambia anashida na pesa kadondosha kwa bahat mbaya alikuwa akienda dukan kununua mahitaji ya kwao akapoteza akapitia ofisin akaniomba ni msaidie kiasi chochote kitakachopatikana nikamsaidia baadae akanambia samahi sikupoteza nilikuwa nakutania nilichukia sana kwa sababu hakuniweka wazi.
Leo sasa kapitia ofisin kanambia na shida na hela kiasi fulan nikamwambia sina sasa baadae kidogo kanitumia ujumbe mfupi wa maandishi kuwa mie na wewe bas nikampigia namba busy baadae akaniandikia msg kuwa usipige mie nisifiche nimeuchuna kimya hadi sahv sasa je ni sawa mpenzi wako akikuomba pesa hata mia tano ukamwambia huna anakwambia let stop here mahusiano yetu ni sahihi jaman je nifanyeje coz kanambia niachane nae napenda majibu mazuri nikipo kosea naomba radhi asante.
.. hivi hawa "wachumba" wanapatikana wapi? naona wapo rare sana mtaani kwetu.

njoo Kiembe mbuzi wachumba tupo kibao
Ulianzaje kumruhusu awe anakuja kuja ovyo ofsini kwako, atakuja kuiba key board shauri yako