Nimekoma kuhonga, kumbe zikiisha wanaondoka

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,835
Poleni na misukosuko ya maisha ngozi nyeusi imelaaniwa ndomana manabii na mitume wote ni weupe isipokuwa shetani.

Niende kwenye maada husika ndugu zangu ipo hivi juzi niliokota lijimama moja linakaa buguruni malapa maana nilikuwa nimebanwa sana huku dhakari ikitaka chakula kwani bila hivyo huenda ningenunua sabuni niingie bafuni nikajichukulie sheria mkononi.

Sasa nilipolifata lenyewe likasema nilinunulie eagle au pliziner tu likishakunywa likalewa tutaenda nikalivue masulupwete ili nilibamize, basi baada ya hapo nikasema tuondoke mazingira yale maana palikuwa sehemu ya wazi sana na mashikaji zangu wakiniona nimekaa na jimama taputapu watanishusha thamani sana.

Huwa napitia kipindi kigumu sana sijui nyota yangu ya mvuto Nani alibeba maana mijimama kama hii ndoinahonga vijana lakini cha ajabu eti mm ndonikawa napigwa mizinga. Lakini ni kamwambia mm kila siku nitakuwa nakupa 5000 ya chakula ila siku yoyote nikikuhitaji njoo, likasema Sawa. Kwakweli siku za mwanzo namm nilifaidi sana kuchovya rungu ila yataka moyo maana kitu usafi yeye kwake niadhabu yaani hajawahi pendeza nguo nihizohizo na hata akioga basi anakiharufu flani hivi kama wale wamama wauza mapupu na masupu ya bandama pale tandale kwa mtogole.

Sasa cha ajabu zaidi pamoja na hayo yote nilikuja kushangaa sana eti nae ananiambia tuachane. Nikasema duuuh kweli la kuvunda halina ubani. Ilinibidi niende kwenye kioo nijiangalie vizuri tatizo nn mpaka na mijimama nayenyewe ina left. Nikajiona niko poa tu, kumbe nikaja kugundua ameniacha kwa kuwa 5000 nilizokuwa Nampa saizi simpi. Nikaona sio mbaya let me stay single but happy .
 
Miaka haitakusaidia kitu uliza maswali yenye tija. Ndomana Waafrika tunadharaulika.
Jibu swali usaidiwe.

Kuna uhusiano mkubwa sana kwenye hii mada yako na umri wako, sasa kabla mtu hajafikia hitimisho ndio maana anaomba kujua umri wako ili akushauri. Usipende kuzarau vitu vidogo vidogo vina maanakubwa sana.
 
20220424_012240.jpg
 
Ushauri mara nyingi huwa ni general sio particular, atoe ushauri watu wajifunze kupitia mm, asitoe ushauri kwa mtu mmoja
 
Poleni na misukosuko ya maisha ngozi nyeusi imelaaniwa ndomana manabii na mitume wote ni weupe isipokuwa shetani.

Niende kwenye maada husika ndugu zangu ipo hivi juzi niliokota lijimama moja linakaa buguruni malapa maana nilikuwa nimebanwa sana huku dhakari ikitaka chakula kwani bila hivyo huenda ningenunua sabuni niingie bafuni nikajichukulie sheria mkononi.

Sasa nilipolifata lenyewe likasema nilinunulie eagle au pliziner tu likishakunywa likalewa tutaenda nikalivue masulupwete ili nilibamize, basi baada ya hapo nikasema tuondoke mazingira yale maana palikuwa sehemu ya wazi sana na mashikaji zangu wakiniona nimekaa na jimama taputapu watanishusha thamani sana.

Huwa napitia kipindi kigumu sana sijui nyota yangu ya mvuto Nani alibeba maana mijimama kama hii ndoinahonga vijana lakini cha ajabu eti mm ndonikawa napigwa mizinga. Lakini ni kamwambia mm kila siku nitakuwa nakupa 5000 ya chakula ila siku yoyote nikikuhitaji njoo, likasema Sawa. Kwakweli siku za mwanzo namm nilifaidi sana kuchovya rungu ila yataka moyo maana kitu usafi yeye kwake niadhabu yaani hajawahi pendeza nguo nihizohizo na hata akioga basi anakiharufu flani hivi kama wale wamama wauza mapupu na masupu ya bandama pale tandale kwa mtogole.

Sasa cha ajabu zaidi pamoja na hayo yote nilikuja kushangaa sana eti nae ananiambia tuachane. Nikasema duuuh kweli la kuvunda halina ubani. Ilinibidi niende kwenye kioo nijiangalie vizuri tatizo nn mpaka na mijimama nayenyewe ina left. Nikajiona niko poa tu, kumbe nikaja kugundua ameniacha kwa kuwa 5000 nilizokuwa Nampa saizi simpi. Nikaona sio mbaya let me stay single but happy .
Nimejikuta nacheka aisee 😀😀😀
Mpka mijimama na yenyewe inaleft 😀😀
 
Back
Top Bottom