Hilo la kuwa graduate wala lisikupe shida, awamu zilizopita zilikuwa nz vilaa wengi sana gradute kuliko wahitimu wa class seven, shonza ni mmoja wa vilaza.
Hilo la kuwa graduate wala lisikupe shida, awamu zilizopita zilikuwa nz vilaa wengi sana gradute kuliko wahitimu wa class seven, shonza ni mmoja wa ******.
Hilo la kuwa graduate wala lisikupe shida, awamu zilizopita zilikuwa nz vilaa wengi sana gradute kuliko wahitimu wa class seven, shonza ni mmoja wa ******.
Mbona wewe huna akili ya kuelewa? Unajua maana ya ku quote hoja ya mtu wewe? Hapo kwenye comment yangu neno SHETANI liko wapi? Jamaa mimi huwa sijadiliani na vilaza naona kila mara una ni quote kwa mambo yaliyo nje ya mada. Nenda kwenye vijiwe vingine siasa ina hitaji wenye akili timamu.
Kilaza katika ubora wako, alikuwa na sasa bado ni gradute ila ni kati ya wale wasio na sifa hizo, bali waliingia kwa bahati mbaya., halafu ukini quote hakikisha uko na hoja yenye mashiko. Kama mwalimu wako alishindwa ukiwa mbichi leo mkavu ndio ujilazimishe mimi nikuelimishe?! Haiwezekani.
****** katika ubora wako, alikuwa na sasa bado ni gradute ila ni kati ya wale wasio na sifa hizo, bali waliingia kwa bahati mbaya., halafu ukini quote hakikisha uko na hoja yenye mashiko. Kama mwalimu wako alishindwa ukiwa mbichi leo mkavu ndio ujilazimishe mimi nikuelimishe?! Haiwezekani.
Kwa kuwa ile mahakama iko tayari.ningepe da kuona hili suala la Lowassa kuwa fisadi au la likifungwa rasmi.yaani Watanzania kazi ni kubishana tuu huku tunasahau ni namna gani twaweza sogeza taifa mbele
Kwa CCM hata akichaguliwa MTU asie na uwezo weledi au taaluma atasifiwa sana, sifa huongezeka zaidi MTU akifariki.. CCM kujikomba ndio jadi yao, muda wa kusifiana umepita.tutampima kwa utendaji wake.
Nimekataa kumpongeza GAMBO lakini nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipomshukuru na kumpongeza Mhe John Pombe Magufuli kwa kuendelea kuwaamini vijana na kuwapa nafasi, hakika mimi nachukua ahadi kwako kwa niaba yao kuwa HATUTOKUANGUSHA.
Nadhani hapa ndio ulipopatia u Naibu waziri ambao kwa bahati mbaya unamuangusha aliyekuteua na kuaibisha vijana wenzako kwani umekuwa mzigo, usiye ubunifu na maringo na mbwembwe zisizo tija.
Nadhani hapa ndio ulipopatia u Naibu waziri ambao kwa bahati mbaya unamuangusha aliyekuteua na kuaibisha vijana wenzako kwani umekuwa mzigo, usiye ubunifu na maringo na mbwembwe zisizo tija.