Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

Ni moja ya kijana shupavu ndani ya ccm,ufanisi wake ktk majukumu yake tangu korogwe umejidhihirisha pasipo shaka!Hakika hii awamu ni ya vijana wachapakazi tu!
 
Dada acha kunukuu vifungu vitakatifu vya biblia kufanya ulinganifu na uovu. Mungu akusaidie sana usirudie kumchezea au kumchanganya.
 
Vihoja! CCM inavijana wenye kuhoji? Au ndio mzee ili kujipatia vijifursa na kujaza matumbo yao? This is the biggest tragedy.
 
Sijakuelewa, wewe umeingia UVCCM wakati Gambo keshakuwa DC, ukitokea wapi vile umesema? ………
Asa huoni kama wewe huko patakushinda kwakuwa huna malezi ya huko? Au kwa kuwa na post kama hizi ndio unaanza kulelewa!
 
Umetoka povu kweli kweli,ila itabaki kuwa kweli kwamba CCM imekuwa kwa muda mrefu kinara wa kuwalisha vijana wetu pumba, ndio maana aibu ya ufisadi imetukumba ndani ya chama.Anaekataa ukweli huu hana nia ya mabadiliko ya kweli ndani ya chama.
 
List of shame kwanza...

Hivi iko wapi vile?? Bado ipo kwenye tovuti ya chama kweli? ??
 
Mungu naomba unisaidie tumbo langu lisiwe chanzo cha kupumbaza akili zangu ili niweze kuwavutia ma boss zangu
 
Je ataweza kuongoza kaskanini wanaotaka kujiongoza watakavyo wenyewe kwa wenyewe na waliotayari kuongozwa hata na jiwe iwapo kiongozi sio katika wao wa uchagani au at least upareni?
 
Juliana Shonza ni mchumia tumbo...hana lolote zaidi ya kujipendekeza
 
Jeuri, anayehoji, si mwoga

Swali
Yote haya anamfanyia nani kwa faida ya nani ???
 
Hivi Juliana utaacha lini kuwa mnafiki?
Utaacha lini kufananisha maandiko matakatifu na upumbavu?
Badilika !!!
 
Kwa kadri ya ufahamu wangu, Mwanamke pekee aliyebaki akipiga siasa za maji taka to date ni WEWE PEKE YAKO. Wengine woote wapo busy na shughuli zao, ajira, biashara etc.

Njaa mbaya sana jamani....
 
****
NJIA HII YA KULIPUKA-LIPUKA YAWEZA KUKULETEA TIJA TARAJI,JITAHIDI..../
MKURUPUKO.COM
 
Je ataweza kuongoza kaskanini wanaotaka kujiongoza watakavyo wenyewe kwa wenyewe na waliotayari kuongozwa hata na jiwe iwapo kiongozi sio katika wao wa uchagani au at least upareni?[/QUOTE
Ubaguzi tu nadhani unakupa shida na sio zaidi ya hapo.
 
"humfahamu" lakini hatokuangusha na unampongeza sana?! Juliana tulia tu maana kila ukisema unaharibu na kuonesha jinsi ulivyo
Hivi kule bavicha Katibu mkuu alimtwanga makonde naibu wake wakigombania mgawo wapesa
 
Kura ya fisadi hatuhitaji
 
Mbona hueleweki? Kwenye uzi wako umemsifia sana GAMBO kuliko hata hao UVCCM wako na CCM kwa ujumla! Unapotoa heading basi weka na mada inayoendana nayo.

Unajifanya kutuvuta kusoma uzi wako huku imejaa umbummbu tu.
Hivi weww mbowe alikusahu viti maalum naona kumbe umfurahishi
 
Umetoka povu kweli kweli,ila itabaki kuwa kweli kwamba CCM imekuwa kwa muda mrefu kinara wa kuwalisha vijana wetu pumba, ndio maana aibu ya ufisadi imetukumba ndani ya chama.Anaekataa ukweli huu hana nia ya mabadiliko ya kweli ndani ya chama.
80% mafisadi wako cdm tangu tu mchukue halmshauri ya kinondoni ndiyo imeongoza kutoa wanafunzi hewa, hati chafu ni halmshauri za cdm ikiwemo Hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…