Katika pilika pilika zangu za kimapenzi nimejikuta nimenaswa na penzi la mtoto wa Kizanzibar. Ni msomi anafanya shahada ya pili kwenye mambo ya Finance, nina maana ameenda shule! Anatoka familia yenye maadili. Ni mrembo. Mapenzi ni mwake, hakuna nilichokosa mara zote nilizokutana naye mechi zimekuwa zikiisha kwa suluhu na hakuna anayehitaji penalti wala msaada wa refarii.
Kuna tatizo moja, yeye ni muislam na mimi ni mkristo...tumejadili hili...anadai yeye haina shida. Kiti moto atakuwa ananipikia na hata kuoka. Nilimweleza siwezi kuacha pombe, yeye hajawahi kunywa ila akiwa na mimi namlazimisha walau sparkling wine robo glass, maana macho yake yanaita, chuchu embe tango, tiGo imo ya kutosha kwa kweli ni mrembo. Ukiweka na kiswahili chake cha Kizanzibar Masa nazimia. Nimemuonya asije JF kuna wakorofi.....!
Mabibi na mabwana hii imekaaje? hasa kwenye suala la dini...nisingependa abadili wala mimi nibadili. Sasa tukipata mtoto (Morgan Tsvangirai)
Malezi yake yatakuwaje? Huyu Mzanzibar tunaendana sana na hili la mahusiano yetu bila sha tutazidisha dumisha muungano, ule ufa tutauziba.
Any advise wakubwa.....
NB: Kibunango kuanzia leo mimi shemejio!
Ama kweli shemeji umekamatika maana hizo sifa ulivyozimwaga sijawahi kukusikia toka umezaliwa. Haya watoto huwa ni wa baba so ni makubaliano yenu tu kama wafuate ndini yako au lah. Mimi sioni kama ni tatizo.
Hahahahah thanks God its Friday! I love flowers from Zanzibar
Hongera sana hakuna kitu kinachompa mwanadamu furaha kama mapenzi duniani hata ukiwa trilionea kama huna nguvu za chakula cha usiku bado utajihisi useless, hilo swala la dini si hoja as long as u love each other, na mmekubaliana. Na inadindi muwe na msimamo kwa vile wazazi wanaweza kuchafua hali ya hewa.
Nipe thanks nimekutumia mashairi mazuri sana ya nyimbo ya kusikiliza na shemeji yetu huyo.
Mbona unakuwa muoga Masa hutaki nasi tumthaminishe,maana ulivyompamba. Mruhusu japo siku moja atie maguu hapa JF tutakusaidia kuwadhibiti wale wakorofi tafadhali sana!Katika pilika pilika zangu za kimapenzi nimejikuta nimenaswa na penzi la mtoto wa Kizanzibar. Ni msomi anafanya shahada ya pili kwenye mambo ya Finance, nina maana ameenda shule! Anatoka familia yenye maadili. Ni mrembo. Mapenzi ni mwake, hakuna nilichokosa mara zote nilizokutana naye mechi zimekuwa zikiisha kwa suluhu na hakuna anayehitaji penalti wala msaada wa refarii.
Kuna tatizo moja, yeye ni muislam na mimi ni mkristo...tumejadili hili...anadai yeye haina shida. Kiti moto atakuwa ananipikia na hata kuoka. Nilimweleza siwezi kuacha pombe, yeye hajawahi kunywa ila akiwa na mimi namlazimisha walau sparkling wine robo glass, maana macho yake yanaita, chuchu embe tango, tiGo imo ya kutosha kwa kweli ni mrembo. Ukiweka na kiswahili chake cha Kizanzibar Masa nazimia. Nimemuonya asije JF kuna wakorofi.....!
Mabibi na mabwana hii imekaaje? hasa kwenye suala la dini...nisingependa abadili wala mimi nibadili. Sasa tukipata mtoto (Morgan Tsvangirai)
Malezi yake yatakuwaje? Huyu Mzanzibar tunaendana sana na hili la mahusiano yetu bila sha tutazidisha dumisha muungano, ule ufa tutauziba.
Any advise wakubwa.....
NB: Kibunango kuanzia leo mimi shemejio!
Masa mapenzi yana nguvu kuliko volcano, najua unavyojihisi hivi sasa...nakumbuka nilivyokuwa chuo nilipenda nikaenda nyumbani nikawaambia naoa wakaniambia navuta bangi....nilikuwa 22 yrs o'clock
Kuna tetesi kuwa mabinti wa Kizanzibar sio wabishi kwenye hiyo ishu.Sorry Masanilo, huyo kimwana tigo anatoa?
Kamanda 22 years ningekuwa kaka yako lazima ungepata makonzi....hahahahah ni kweli kabisa!
Najaribu kuvuta taswira huyo shori ananijia akilini mwangu hebu endelea....
Ndio maana Masa anaogopa kumleta hapa, huenda watu mlishampitia huyo shori, kaaazi kwelikweli!!!!Najaribu kuvuta taswira huyo shori ananijia akilini mwangu hebu endelea....