Nimekacha mwaliko wa Mkuu wa kaya

Unataka misifa huna lolote_utaalaniwa unapohusisha dini na siasa uchwara wako_una nin wewe mpaka uje kujisifia hapa?
 
Unataka misifa huna lolote_utaalaniwa unapohusisha dini na siasa uchwara wako_una nin wewe mpaka uje kujisifia hapa?

Mkuu vipi tena? Siasa na dini vimechanganywaje hapa? Mbona muda wa futari umeshapita, bado umebanwa na saumu tu? Lala kidogo usubiri daku!
 
Mkuu njiwa sadaka ya chakula kwa mtu yoyote kwa muislam ana asiyekuwa muislam...jamaa wanataka kuleta chuki bila sababu za msingi.
Bora mngetoa hiyo sadaka ya daku/futari kwa masikini waliolala na njaa sio hao waliojishibia tayari....hamna sadaka hapo ni kujionyesha tu...
 
Mi nahisi hukuenda ili uje usifiwe huku JF , c huwa wanasema ushujaa ni kupambana na tatizo badala ya kulikimbia, huyo role modal wako hakukimbia though alijua consequence zk, next tym nenda kamwambie usoni how much u hate him
 
Kualikwa kwako na kuacha kuhudhuria kunatuhusu nini. Huu ndio unafiki usiotakiwa,eti alinialika nikasingizia nasafiri,kama we kweli ni mtu kwa nini usimwambie hutahudhuria kwa sababu hiyo ya kupuuzi uliyotoa? We ni mnafiki kwa sababu umesema uongo. Acha mawazo na fikra mgando!
 
Mkuu vipi tena? Siasa na dini vimechanganywaje hapa? Mbona muda wa futari umeshapita, bado umebanwa na saumu tu? Lala kidogo usubiri daku!

haaah haaah haaah haaah nina machungu sijapata salary ila nimecheka sana mkuu.
 
Mi nahisi hukuenda ili uje usifiwe huku JF , c huwa wanasema ushujaa ni kupambana na tatizo badala ya kulikimbia, huyo role modal wako hakukimbia though alijua consequence zk, next tym nenda kamwambie usoni how much u hate him

Mkuu umesema vizuri. Bahati mbaya hukunisoma vizuri. Rudia kusoma neno kwa neno tupio langu utapata majibu ya hoja yako. Good day.
 
Mkuu inaonekana unaandika umeshanoa na panga kabisa!
 
kwa nini mnafanya kualikwa futari kama issue ya ajabu kutokea. Kuna wakati yalilitwa majungu humu jamvini kwamba JK ameacha kushughulikia matatizo ya wananchi yeye anafuturisha. Kufuturisha si kama kutoa chakula kingine kwa ndugu jamaa na marafiki? kwani viongozi wengine hawali na rafiki zao wakati wa matatizo? au ndio njia ya kudhalilisha imani za watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…