Nimekacha mwaliko wa Mkuu wa kaya

Huna sifa ya mualiko,usitake kujipa chati bana. Una umuhimu gani mpaka ualikwe, na hata ungealikwa nadhani ungefika hapo ikulu mchana.
 
Mkuu njiwa juzi niliwapa mualiko rafiki zangu Wakiristo walikula muogo wa nazi na samaki jodari, na katres za samaki, na uji wa shurba pamoja maamri na rost ya mbuzi, chapati za samri, wakashushia na juice ya pera leo tena wameniomba mualiko tena...nimewambia Ijumaa wamefurahi sana.
Siunajua upande wapili kupika Kwao nitatizo so usishangae kutaka mualiko tena
 
Last edited by a moderator:
Huna sifa ya mualiko,usitake kujipa chati bana. Una umuhimu gani mpaka ualikwe, na hata ungealikwa nadhani ungefika hapo ikulu mchana.

hahahaha! jamaa anavyodai kikwete alimpa mualiko personally sijui alimpigia simu alafu akamkacha ... hahahaha
 
Ubunge wa mbelekooo! Acha wanaopenda bembea waendelee!
 
Mkuu njiwa juzi niliwapa mualiko rafiki zangu Wakiristo walikula muogo wa nazi na samaki jodari, na katres za samaki, na uji wa shurba pamoja maamri na rost ya mbuzi, chapati za samri, wakashushia na juice ya pera leo tena wameniomba mualiko tena...nimewambia Ijumaa wamefurahi sana.

Ustaadh Ritz
Mbona mialiko kwa kujuana?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Safi sana...
Uroho wa nyama umemwachia yule Mwanachadema feki aliyezikimbilia Chamwino wakati ule... Hadi leo simkubali yule jamaa, yuko feki kila wakati!
 
Mkuu naomba radhi kwa dhati. Hata hivyo unajua pindi kama ingetokea kweli nimchape kiatu cha Bush sana sana msamaha ambao ningepata ni ni kutunzwa stoo baada ya kisago cha mbwa. Baada ya Iddi tu ni Mabwe, au uwongo sheikh?

Sisi waislamu tunasamehe 7x7 hasa katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani. siyo 7x70 kama ninyi. Hivyo kwa mwezi huu, tusingetoa kichapo unacho dhani, labda tungesubiri kwanza mwezi huu uishe, ndiyo labda tungekufikiria mambo ya Mabwe (Guantanamo ya tz). Naomba niendelee kutetea hoja yangu, ila ukinilazimu, nitaomba radhi
 
Kama kawaida mkuu wa kaya kipindi hiki huandaa futari na kuwaalika watu fulani fulani kuwafuturisha. Nilipata mwaliko jana kuwa kesho (leo) anafuturisha. Siyo siri, nimetoa "excuse" kwamba nitakuwa safarini kwani nawahurumia watoto wangu bado wadogo. In short niliogopa ningemkosa na kiatu huyu jamaa afu yangenipata mabaya zaidi ya yaliyompata mwenzangu Muntadar al-Zaid. Mwenzangu walimvunja mbavu ila mimi labda ningeishia Mabwepande.

Hongera kwa uamuzi wa busara kuchagua kuendelea kuwa na familia yako. Ungerusha kiatu sidhani kama ungemkosa maana hawezi kukwepa huyu jamaa
 
kweli mkuu kwa hali tuliyonayo sasa hatutakiwi kuwa na silaha karibu zinaweza kutupeleka kutenda tusichotarajia... kila mtu kajaa kama puto kwa hasira kutokana na serikali dhaifu.
 
Kama kawaida mkuu wa kaya kipindi hiki huandaa futari na kuwaalika watu fulani fulani kuwafuturisha. Nilipata mwaliko jana kuwa kesho (leo) anafuturisha. Siyo siri, nimetoa "excuse" kwamba nitakuwa safarini kwani nawahurumia watoto wangu bado wadogo. In short niliogopa ningemkosa na kiatu huyu jamaa afu yangenipata mabaya zaidi ya yaliyompata mwenzangu Muntadar al-Zaid. Mwenzangu walimvunja mbavu ila mimi labda ningeishia Mabwepande.

Au labda hayo majitu yangekuvunja NYETI(K)mkuu. Ni uamuzi wa busara uliochukua.
 
Hongera kwa uamuzi wa busara kuchagua kuendelea kuwa na familia yako. Ungerusha kiatu sidhani kama ungemkosa maana hawezi kukwepa huyu jamaa

Hahahahahaaaa! Usinichekeshe mkuu Polisi! Lingeniniga shingo lile si unajua tena lanajeshi. Umesahau ile move ya yule dogo wa Mwanza?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu njiwa juzi niliwapa mualiko rafiki zangu Wakiristo walikula muogo wa nazi na samaki jodari, na katres za samaki, na uji wa shurba pamoja maamri na rost ya mbuzi, chapati za samri, wakashushia na juice ya pera leo tena wameniomba mualiko tena...nimewambia Ijumaa wamefurahi sana.

Hawa rafiki zako uliowaalika watakuwa lazima wale wezi wa EPA kwani ndio walioweza kuipa familia yako neema hivyo unalipa fadhila kwa kuwapa futari ya samaki wa aina ya jodari!!! Lazima mfunge mwezi huu kwani mna dhambi sana nyie!!
 
Back
Top Bottom