Nimekacha mwaliko wa Mkuu wa kaya

Nyetk

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,648
1,696
Kama kawaida mkuu wa kaya kipindi hiki huandaa futari na kuwaalika watu fulani fulani kuwafuturisha. Nilipata mwaliko jana kuwa kesho (leo) anafuturisha. Siyo siri, nimetoa "excuse" kwamba nitakuwa safarini kwani nawahurumia watoto wangu bado wadogo. In short niliogopa ningemkosa na kiatu huyu jamaa afu yangenipata mabaya zaidi ya yaliyompata mwenzangu Muntadar al-Zaid. Mwenzangu walimvunja mbavu ila mimi labda ningeishia Mabwepande.
 
Nakupongeza mkuu umefikiria mbali sana kwani kura yako 2015 tungeikosa halafu magamba yangeshinda kwa tofauti ya kura 1.
 
Nakupongeza mkuu umefikiria mbali sana kwani kura yako 2015 tungeikosa.

You are very right mkuu, naithamini sana kura yangu. 2010 wakati wa uchaguzi nilijikuta hatarini kukosa kupiga kura maana nilikuwa very tight Dar wakati mimi nilijiandikisha Mwanza. Ilibidi nipande ndege kwenda Mwanza kupiga kura tu na kurudi. Ndiyo maana nina hasira sana na mwizi wa kura yangu.
 
Kama kawaida mkuu wa kaya kipindi hiki huandaa futari na kuwaalika watu fulani fulani kuwafuturisha. Nilipata mwaliko jana kuwa kesho (leo) anafuturisha. Siyo siri, nimetoa "excuse" kwamba nitakuwa safarini kwani nawahurumia watoto wangu bado wadogo. In short niliogopa ningemkosa na kiatu huyu jamaa afu yangenipata mabaya zaidi ya yaliyompata mwenzangu Muntadar
al-Zaid.
Mwenzangu walimvunja mbavu ila mimi labda ningeishia Mabwepande.
IMG_0941.JPG
 
You are very right mkuu, naithamini sana kura yangu. 2010 wakati wa uchaguzi nilijikuta hatarini kukosa kupiga kura maana nilikuwa very tight Dar wakati mimi nilijiandikisha Mwanza. Ilibidi nipande ndege kwenda Mwanza kupiga kura tu na kurudi. Ndiyo maana nina hasira sana na mwizi wa kura yangu.

Ulifanya kitu kizuri sana mkuu Ipo siku watanzania wote wataelewa umuhimu wa kura zao na kuzilinda dhidi ya Magamba.
 
Sasa naona anaingilia kazi za makamu mzee wa utepe. hii ni kazi ya makamu wa rais kufuturisha na kutembea na mikasi mfukoni
 
Back
Top Bottom