Nimejiunga na mtandao wa TTCL kwamba nyumbani kumenoga lakini kinachonipata ni mateso tu

nkungu mwere

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
258
336
Nimejiunga na mtandao wa ttcl.kwa kauli mbiu ya rudi nyumbani kumenoga,lkn kinachonipata ni mateso tu,nilipojiunga mwanzoni nilikuwa nafaidi sana kwa kuwa mtandao ulikuwa full,lkn sasa mtandao wao haupandi tena,yaani ni 3G au 4G tu,ile H+ haipatikani tena na ikija ni sekunde inapotea,hivyo huwezi fungua hata you tube,nimepiga cm zaidi ya mara 6 majibu yao yote yamefanana,naandika haya kwa kutumia mtandao wa AIRTEL ambao uko full,nionavyo mimi TTCL IMESHINDWA KUSHINDANA MAPEMAAA
 
Ofisi ya TTCL pale kibaha badala ya kua sehemu za biashara ili wananchi wapate hudumu. wenyewe wako ofisi ya mkuu wa mkoa mbali sana na waliko wananchi. wenzao wako stendi na sokoni na mjini hawa wako ndaani ndani mkoani.
 
Afisa masoko bado anachupokea Salary hadi Leo?
Ofisi ya TTCL pale kibaha badala ya kua sehemu za biashara ili wananchi wapate hudumu. wenyewe wako ofisi ya mkuu wa mkoa mbali sana na waliko wananchi. wenzao wako stendi na sokoni na mjini hawa wako ndaani ndani mkoani.
 
Asa H+ na 4G unadhani ipi kubwa..
Mi nimeogopa kucomment nisijeonekana sijui. By the way Ttcl yani sijui inategemea upepo kwasababu ina kuandikia 4g sasa hivi baada ya nusu saa inarudi H+ au in akatazama network kabisa. Najiuliza mkongo wa taifa si una nguvu sana kuliko hizi network wanazotumia akina voda?
 
Back
Top Bottom