Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,569
- 7,419
Aisee naonekana mnafiki upstairsUkisema uwaombe radhi masela, utaonekana mnyonge, cheka nao, waambie ulikuwa unaleta drama kazini maana ofisi ilikuwa imepoa sana.
Kila wakikuchamba, wewe jibu kwa swali "So what?
Holy fatherBaba mtakatifu daah, SANT FATHER
Nasali la momoniKanisa lako lipo sehemu gani bwashee
Kaka me nasali mormon church of the later day saintKanisa lako lipo sehemu gani bwashee
KaribuKanisa lako lipo sehemu gani bwashee
Sawa ulielewa ni kwanini mungu anasihi kuoa na bikra na ni kwanini anakataza uzinzi kwa upande mwingineKaka me nasali mormon church of the later day saint
Holy father Holy father I'm screaming My lady gaga 🎶Holy father
Goshi ubebe guniseka duhu nulu gunishauri biyaHoly father Holy father I'm screaming My lady gaga 🎶
Haaaaaaaaaah hiyo ni code ya kijasusi"Tunduma masasi karibu na Lilongwe road"
Sasa hizi code za kijasusi kwanini hukuzitumia kugandisha friji lako ili usidhalilike ukubwani ?Haaaaaaaaaah hiyo ni code ya kijasusi
Daaaaah kaka naomba ushauri wa hali na maliSasa hizi code za kijasusi kwanini hukuzitumia kugandisha friji lako ili usidhalilike ukubwani ?