Nimejaribu kupiga windows 10 kwenye hp elitebook 820 bila mafanikio

UPDATE
Wakuu nashukuru sana tena sana na nimefurahi sana kwani kwa kufuata ushauri mlionipa hatimaye nimeweza kumaliza baada ya kuchomoa tu flash kumbe mchawi alikuwa ni flash
AHSANTENI SANA
 
Mkuu nashukuru sana yaani nimefuata kama ulivyonielekeza na kweli hapa sasa hivi nmemaliza kazi na nmefurahi mpaka nikiona mbu anapita mbele angu nacheka nae tu
 
Mkuu ahsante sana hatimaye nimefanikiwa
 
Acha mawenge wewe, Ukishamaliza Kupiga window hakikisha unatoa Flash au Cd unayotumia kwa Boot la sivyo itarudi kulekule
 
Acha mawenge wewe, Ukishamaliza Kupiga window hakikisha unatoa Flash au Cd unayotumia kwa Boot la sivyo itarudi kulekule
mkuu nashukuru kwani mwanzo sikujua hili but kwa kuamhiwa na wanan'zengo nimefuata na hatimaye nimefanikiwa
 
Mkuu
Jipongeze Sana maana umetumia mtandao kwa kujifunza kutatua tatizo lako
Umefanya matumiz chanya ya mtandao
Hongera
ahsante sana mkuu na hata ukisoma mwanzoni kabisa nilieleza kuwa nimejifunza kupiga window kwa msaada wa google na nilivoona mambo hayaendi ikabidi niingie huku kupata mwanga na kwakweli nimefanikiwa kwa 100% nashukuru sana watu wamenisaidia kwa moyo moja na hongereni sana kwa moyo huo maana kuna wengine kazi yao huwa ni kukebehi na kejeli juu.
 
Ulicho bakiza ni kusajili je umekamilisha ?mana bila hivyo uttumia siku thelathin tu
 
mkuu
kukebehi na kukejeli ni kazi za vijana wenzetu ambao ni wapumbavu.....huwa kila nikisoma nyuzi za zamani humu(makaburi) huwa natamani ningekuwepo tokea miaka hiyo ambapo JF ilikuwa ni mwendo wa hoja kwa hoja...ckuhiz vijana tumewaletea great thinkers matusi,kebehi a tunajitutumua
 
Hapana mkuu sijasajili naomba unipe mwanga namna ya kusajili
Right click my computer icon then shuka chin kwenye properties halafu utaona kama haijasajiliwa itaandikwa not registered or 30 days to register kama itakuwa imekuwa registered utaona windows is activated

Sasa kama haijawa actvated ingia google download KMS uiactivate no simple sana
 
tayari mkuu maana imeniandikia windows activated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…