Mkuu nashukuru sana yaani nimefuata kama ulivyonielekeza na kweli hapa sasa hivi nmemaliza kazi na nmefurahi mpaka nikiona mbu anapita mbele angu nacheka nae tuHuyu jamaa ametoa solution ila hakua na uhakika.
Kwanza kabisa windows huwa inacopy files toka kwenye source ambapo wewe ni usb stick.
Ikimaliza inazi expand na unapata status ya making files ready for instalation. This stage ikiisha na kuanza kuinstall feature wewe toa flash yako hata ukiamua itupe tu sababu imeshacopy setup files zako kwenye computer hard disk.
Ikimaliza ku ingiza drives ambayo ni hatua ya mwisho basi windows yako ita restart na kuwaka ili kumalizia process ya windows setup.
Mchawi hapo ni kutoa flash usihangaike na boot order now mkuu. Kama uki close hiyo windows inayojirudia na flash uchomoe, computer itawaka na kumalizia setup.
Cheers
Mkuu ahsante sana hatimaye nimefanikiwaulipokosea hapo ni kwenye boot order,,nenda kwenye bios change boot order,, hard drive yako iwe ya kwanza halafu save then restart window itaendelea pale ilipoishia,,,
kuanza upya kunasababishwa na pc kuboot kwenye hiyo flash ya window kwanza badala ya hard disk,,,,
Mkuu nashukuru sana yaani nimefuata kama ulivyonielekeza na kweli hapa sasa hivi nmemaliza kazi na nmefurahi mpaka nikiona mbu anapita mbele angu nacheka nae tu
MkuuUPDATE
Wakuu nashukuru sana tena sana na nimefurahi sana kwani kwa kufuata ushauri mlionipa hatimaye nimeweza kumaliza baada ya kuchomoa tu flash kumbe mchawi alikuwa ni flash
AHSANTENI SANAView attachment 1203049View attachment 1203050View attachment 1203053
ahsante sana mkuu na hata ukisoma mwanzoni kabisa nilieleza kuwa nimejifunza kupiga window kwa msaada wa google na nilivoona mambo hayaendi ikabidi niingie huku kupata mwanga na kwakweli nimefanikiwa kwa 100% nashukuru sana watu wamenisaidia kwa moyo moja na hongereni sana kwa moyo huo maana kuna wengine kazi yao huwa ni kukebehi na kejeli juu.Mkuu
Jipongeze Sana maana umetumia mtandao kwa kujifunza kutatua tatizo lako
Umefanya matumiz chanya ya mtandao
Hongera
Ulicho bakiza ni kusajili je umekamilisha ?mana bila hivyo uttumia siku thelathin tuahsante sana mkuu na hata ukisoma mwanzoni kabisa nilieleza kuwa nimejifunza kupiga window kwa msaada wa google na nilivoona mambo hayaendi ikabidi niingie huku kupata mwanga na kwakweli nimefanikiwa kwa 100% nashukuru sana watu wamenisaidia kwa moyo moja na hongereni sana kwa moyo huo maana kuna wengine kazi yao huwa ni kukebehi na kejeli juu.
mkuuahsante sana mkuu na hata ukisoma mwanzoni kabisa nilieleza kuwa nimejifunza kupiga window kwa msaada wa google na nilivoona mambo hayaendi ikabidi niingie huku kupata mwanga na kwakweli nimefanikiwa kwa 100% nashukuru sana watu wamenisaidia kwa moyo moja na hongereni sana kwa moyo huo maana kuna wengine kazi yao huwa ni kukebehi na kejeli juu.
Right click my computer icon then shuka chin kwenye properties halafu utaona kama haijasajiliwa itaandikwa not registered or 30 days to register kama itakuwa imekuwa registered utaona windows is activatedHapana mkuu sijasajili naomba unipe mwanga namna ya kusajili
tayari mkuu maana imeniandikia windows activated.Right click my computer icon then shuka chin kwenye properties halafu utaona kama haijasajiliwa itaandikwa not registered or 30 days to register kama itakuwa imekuwa registered utaona windows is activated
Sasa kama haijawa actvated ingia google download KMS uiactivate no simple sana
Hiyo ni kwa wale wasiojua kuingia bios nakuset boot order.Acha mawenge wewe, Ukishamaliza Kupiga window hakikisha unatoa Flash au Cd unayotumia kwa Boot la sivyo itarudi kulekule