lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Habari zenu wadau,
Nimepokea ujumbe ukinitaka niende kwenye interview lakini tatizo sijajua hawa jamaa mitihani yao inafananaje.
Naomba kwa yeyote mwenye info wa mitihani ya hawa jamaa anijuze.
Thanks
jamaa gani kaka waliokuita tukusaidie ikiwezekana?
usiogope confidence ndo kila kitu all the best
Habari zenu wadau,
Nimepokea ujumbe ukinitaka niende kwenye interview lakini tatizo sijajua hawa jamaa mitihani yao inafananaje.
Naomba kwa yeyote mwenye info wa mitihani ya hawa jamaa anijuze.
Thanks
All the best mkuu
viettel wapi hao maana sasa nimeshajua naona watu walioiongelea ni hiyo ya Bibi TiTi tower, mimi ninayoijua ni ile ya mikocheni pale hakuna mtu mtanzania anayefanya kazi pale labda wale wafanya usafi na walinzi, ufanye uchunguzi kama ni hiyo ya mjini labda ndiyo hiyo ya matapeli wanaosema watu ila kama ile ya mikocheni nenda kapige interview mkuu
Kijana nami nimeitwa but sms imefika nusu kama unaweza kunitumia ni PM plz. kwangu imeishia kwenye muda wa interview huko mbele ni incomplete