Nimeitwa UNV

UNV ndo nn maana mnaongea kama vishazi tegemezi mtufafanulie tujue nasisi basii
 
ingia kwenye website ya unv utapata informations zote.just goggle UNV itakuletea informations mbalimbali then utachoose unayoitaka.but one of them ni kuwa tayari kufanya kazi kwenye mazingira magumu, na huchagui wapi pa kupangwa,utaenda kokote watakapokupanga.hongera.usiiachie hiyo nafasi, itumie.
 
Hayo uliyomwambia mwenzio yote anayajua. Hukumuelewa anataka nini? Ungesoma vzr ili unshauri vizuri. Mi nakushaur mtoa posti kama huna familia na ndiounaanza maisha nenda kapambane ukitafuta dili la kuingia UN moja kwa moja.lkn kama unayo na inakutegemea 100% mzee hapo utawaua kwa pressure.
 
niko kwenye humanitarian industry toka mwaka 1995 kama national staff na sasa kwa miaka 3 kama expat na nimefanya kazi south sudan na Iraq na leo niko DRC ..so familia yangu imeshazoea kabisa mambo haya...
 
kama ndio hivyo basi huko unakofanya kazi nafikiri ndio sehemu sahihi kuwapata watu wa kukupa ushauri sahihi
 
United Nations Volunteers (UNV)
ni kujitolea, hayo maslahi uayoyahitaji hayaendani kabisa na kupenda kujitolea.
 
United Nations Volunteers (UNV)
ni kujitolea, hayo maslahi uayoyahitaji hayaendani kabisa na kupenda kujitolea.

miaka kama miwili iliyopita jamaa yangu alikua analipwa zaid ya usd 2000 kwa mwezi kwa kazi hiyo ya UNV. So kujitolea kama UNV ni tofauti na kujitolea kufanya kazi benki ya posta Tanzania. uwe unafuatilia mambo kabla ya kutoa ushauri fyongo!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…