naunga mkonounaonaje ukimuuliza huyo jamaa yako aliyeanza tokea 1998 mpaka leo yupo un? yeye atakuwa na info zaidi
unaonaje ukimuuliza huyo jamaa yako aliyeanza tokea 1998 mpaka leo yupo un? yeye atakuwa na info zaidi
un v maana yake ni nini hasa?
may be united nation voluntary
Kwanza kabisa namshukuru mola wangu na wenu kwa bahati hii japo sijafanya maamui bado, nimeitwa unv west africa .. Nimekuwa kwenye rosta ya unv kwa toka mwaka 2002 na nimeshitwa mara tatu moja nilikataa maana ilikua short mission ya south sudan wakati ule wa uchaguzi na nyingine ilikua ya afghanstan hii sikuiona email yako ilikua trashed kama junk mail. Jana tena wamenitumia offer nyingine ya west africa ,, naombeni msaada kwa wale walopata kufanya kazi za unv complete parkage yao huwa kiasi gani,, yaani ile take home.
Mwisho kabisa na himiza vijana kujisajili na hawa jamaa wa unv,, ni wakweli na hawana mambo ya mlango wa nyuma ukijisajili kwenye system yako unapewa rosta number yao system iki match unaitwa,, kunajamaa yangu yuko un leo alianzia hapa mwaka 1998 mpaka leo ni mwajiriwa wa un full time.
un v maana yake ni nini hasa?
un v ndio nini?
Jana tena wamenitumia offer nyingine ya west africa ...
AsanteUnited nations volunteer
Kijana umejiandaaje kwenda kukabiliana na ugonjwa wa EBOLA?
Maana nakuona umejawa na shauku huku fikra zako zikiingiwa na matamanio ya fedha...
unaonaje ukimuuliza huyo jamaa yako aliyeanza tokea 1998 mpaka leo yupo un? yeye atakuwa na info zaidi
Hawapelekwi kwenye nchi za Ebola mkuu info zao zimeletwa hata hapa ofisini maana ni lazima tujirizishe na RAIA wetu....
Watanzania hawachangamkii fursa nimeona kwenye list Kenyans ni wengi mno
United nations volunteering
Wanapelekwa kuvoluntia nchi zipi sasa?